Nafasi ya kazi msimu huu wa sabasaba!!

charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,460
5,991
Wanahitajika wasichana wanne wenye uwezo wa kufanya matangazo ya huduma zitolewazo na kampuni yetu inayojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka China hadi Tanzania, msimu huu wa sikukuu za sabasaba...kuanzia tar 28 June mpaka 9 Julai,

Vigezo
*Elimu ya form 6 hadi chuo.
*Umri kuanzia 18-25.
*Uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha.
*Awe mwenye muonekano mzuri.

Vigezo na Masharti kuzingatiwa...

Kwa mawasiliano zaidi piga
0683 108086 au 0757 164483
 
Mkuu unaleta tangazo lako bila hata kutaja jina la kampuni? Mhmh! Njoo watafute wasichana chuo cha TIA hapa karibu kabisa na uwanja wa sabasaba.
 
Mkuu unaleta tangazo lako bila hata kutaja jina la kampuni? Mhmh! Njoo watafute wasichana chuo cha TIA hapa karibu kabisa na uwanja wa sabasaba.
ndo maana nikaweka namba za simu mkuu kwa aliye serious nadhani atapiga!!
 
...teh hee hee..eti vigezo na masharti kuzingatiwa!
..afu hii sio kazi.,hiki kibarua we muuza yeboyebo wa wachina!
 
Back
Top Bottom