Recent content by cab

  1. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Pumzika salama M. Mtoi. Chama na taifa vimepoteza kijana hodari.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Huu si ndo wakti!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jua la Asubuhi sio kali kama Mchana na umbali ni uleule?

    The higher the sun is in the sky, the more energy per square foot strikes the surface of the earth. Precisely speaking, the amount of solar energy per unit area is proportional to sin^2 a, where a is the altitude of the sun over the horizon.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Frequency za Dar hizo!!?
  5. C

    JamiiForums Tanzania This week in Science

    Akili zipo but hatuzishughulishi ipasavyo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania This week in Science

    We need something like this for local Science issues in TZ.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    Kwa nguvu anayotumia Lowassa pamoja na ushawishi na nguvu aliyonayo ndani ya CCM na nje ya CCM, itakuwaJE CCM wakimpiga chini kupeperusha bendera yao hii 2015. Tunatambua kuwa kuna kundi kubwa tu ndani ya CCM wasiomtaka Lowassa agombee urais kwa ticket ya CCM, na hata Mh. J.K kashasema...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yako ni yangu, but yangu ni yangu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uke unauma

    Una umri gani sasa? Na umeanza lini kufanya mapenzi!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Masai dada akiwa kwa Pozi.

    Vaa miwani usione Gere!! :thumbup::thumbdown:
  11. C

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI JF Shopping mall uwe wa kisasa!

    Sasa Wewe Kibo10 ungekuwa unatoa na price na wapi zinapatikana ndo ingekuwa poa!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya mkibosho na mmarangu????

    Kabla sijakujibu swali lako naomba nijue kwanza wewe ni Chasaka au!?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Ha ha haaaa!!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania 2013: Machozi, Damu na vicheko! Lipi Tukio Kubwa kabisa?

    2013 ndo hii inaishia na 2014 ipo mlangoni. Haya ni matukio makubwa yaliyopamba headlines za vyombo vya habari vya hapa Bongo kwa siku hizi 365. Lipi ni tukio kubwa kwako kati ya haya, au ongeza lako. KATIBA Tumeshuhudia tume ya katiba ikikusanya maoni juu ya katiba mpya na kutoa rasimu ya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Kufa au kusambaratika kwa CHADEMA siyo kupona au kuimarika kwa CCM.
Back
Top Bottom