Kabla sijakujibu swali lako naomba nijue kwanza wewe ni Chasaka au!?
Wewe ulikuwa nao wote wawili wa lengo gani? Kama ni kwa kuwasoma tabia majibu unayo Na wala so kuangalia ametokea Wapi. Anglia aliyekuridhisha Na mwenendo wake vuta jiko.
We famba kweli.....Na maanisha ni Mhaya kwa mantiki ya kusoma na kuji-proud....
Angalia usije chafua hali ya hewa hapa..
wamarangu ni kama wahaya wale wa buguruni.
Kama unajihisi wewe ni msomi piga chini kibosho chukua mmarangu, lakini kama wewe ni wa elimu ya chini na shughuli zako si za kisomi somi achana na huyo mmarangu maana huko mbeleni utadharaulika sana.........mimi ni mkibosho

Ni Chasaka huyo....