Recent content by C. Wangwe.

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Duuh!! Yaani hata application letter wanaandikiwa??
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele katika mahusiano

    Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. jamiiforums.com Aug 4, 2019 2:40 PM Naunga mkono hoja hata marafiki zangu wooote huwa wanapenda Sana kuolewa na wasukuma au wakurya, na husema kuwa Mkurya anajua kutunza...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuhamia Dodoma Feb 2017 kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wote bado ipo?!

    Safari ya kuhamia ipo ila kikwazo ni Mpunga wa kuwahamisha Watumishi, hakuna fedha za kugharamia uhamisho.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

    Magu Ana kazi gani kwani hukusikia aliposema Mfyatue watoto maana atawasomeshea buuuuureee!!??
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa bodi ya Parole Mrema alazwa India

    Yes, imeboreshwa kwa sisi walala hoi, sio kwa hao wakubwa.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna unafuu wa maisha? Sema Ndiyo au Hapana

    HAPANA
  7. C

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wamchunguza kamanda Sirro tuhuma za Paul Makonda

    mkuu Oooohooo!! Uchochezi huuuu!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

    Ndugu, unamaana kuwa Mr. White hair ndo mhusika WA vifo hivyo (6) unavyosema? Na bado Ana list nyingine??
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

    Acheni kulialia Mwacheni Mkulu Anyooshe Inchi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sitta umeondoka ila haya uliyotuachia vitabaki vizazi na vizazi

    Mmmmh! Tia akilini, "Mbele yake Nyuma yako"
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema hatapelekwa Mahakamani siku ya leo; tutazidi kuwajuza

    issue sio arudi shule, inategemea katokea mkoa gani. (Mother tongue)
  12. C

    JamiiForums Tanzania NEC yamkabidhi bakaa Rais Magufuli bilioni 12 zilizookolewa Uchaguzi Mkuu 2015

    Hayo ndo kila simu tunasemaga maigizo na kutaka sita zisizokuwa na kichwa wala miguu, habari kwamba hela imerudishwa huu Ni asanii tupu, kinachofanyika Ni kuwa Taasisi zote za serikali zinazopata fedha za umma toka Hazina kila moja inakuwa na budget yake ya mwaka nzima na ktk hiyo budget sio...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Majipu Arusha Technical College

    Arusha Rechnical College??? Ndo nini??, Watu WA majungu na visokorokwinyo kama wewe mnafaa kuchomwa Moto na majivu yako yatupwe katka vilindi vya bahari.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Operation Tumbua Majipu ikibainika Fedha hizi zilitumika kwenye Uchaguzi mkuu kutatokea nini?

    Kuna Majipu mengine yamekaa vibaya akijaribu kuyatumbua anaweza Ku paralyze.
  15. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
Back
Top Bottom