mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Zipo taarifa nyingi kuwa sababu kuu ya mashirka mengi kufa au kufilisika ni kwa sababu ya serikali ya miaka iliyopita ilikuwa ikichukua fedha za uchaguzi mbalimbali kutoka kwenye mashirika makubwa fedha ambazo hazirudishwi baada ya uchaguzi kuisha, kwa nyakati hizo wakurugenzi wengi utumia mwanya huo kuchota zaidi kwa kuwa hakuna wa kuwahoji kwani mchezo mzima serikali inajua. Wakurugenzi wengi walikuwa wakilinda ajira zao kwa mgongo wa kuwapa ccm fedha nyingi za uchaguzi ambazo hazirudishi, Mfano NIC, KCU ya Kagera ni miongoni mwa mashirka aliyokufa kufuatana na kadhia hii.
Mtumbuaji inabidi usianzie miaka ya hivi karibuni, anzia mwaka 1995 hadi 2016 unaweza ukakaa chini ukalia sana jinsi wakurugenzi walivyokuwa wanaachiwa wanajitwalia mali ya umma.