Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Tunalifanyia uchunguzi hili suala hizi zisije kuwa sham marriage kwa dhumuni la watu kupata uraia. Nchi zote ulizotaja zipo matatizoni na ni rahisi watu hao kufanya arrangement za namna hii kwa kutoa kiasi cha pesa ku-fake marriage then wapate uraia. TUTALIFATILIA HILI[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hahahaaa, asee ukitaka mambo ya kufatilia nenda jukwaa la siasa. Hili ni jukwaa la "stress-free". By the way mbona kila siku waafrika tunakomaa kutafuta uraia Europe na America, why big deal mwafrika kutafuta uraia katika nchi nyingine za kiafrika? Watanzania mkue asee hii mipaka imewekwa juzi tu.
 
Halikuwa jambo la kawaida sana huko nyuma. Ndani ya miezi miwili nimepokea kadi za harusi 6, kilichonishangaza 4 kati ya hizo ni wadada wa kisomali, moja made in Syria na moja nyingine ndiyo ya dada zetu wa kibongo.

Pia mbali ya hizi kadi, nimeshuhudia hizi ndoa za "cross-border" zikipanda chati sana siku za hivi karibuni hasa zikuhusisha vijana wa kibongo na dada zetu wa kisomali, syria nk. Nikajiuliza, hivi ndio soko la dada zetu wa kibongo limekwisha au kuna tatizo gani hapa? Au hamjitumi uwanjani?
Ukimpata mmoja niletee.
 
natafuta mmoja nawapenda sana wakenya wanafaid wapo karibu yao kule
 
Wazungu waharibifu kwa dada zetu navyoskia; bora komaa na akina matonya hawahawa. Cha muhimu msiende maduka ya kichina kununua uchina.
Wajanja km akina akothee wa Kenya tajiri wa millions of dollars kwa sababu ya mzungu lkn baadhi yao especial wabongo wanaridhika tu na wine,whisky,piza kulala hotel kali kibabu kinakugongea mayai weeee mwisho wa siku anarudi kwao anakuacha na urithi wa Iphone6 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi nataka msiria mmoja,nionje ladha ya papuch nyeupe,wanapatikana wapi wakuu hawa watu?
 
Back
Top Bottom