Hata Viwanja Mkuu, ukienda kununua ukakuta mmiliki ni wale vikongwe, basi utalipia halafu mwiso wa siku ukiondoka unasahau kama ulinunua Kiwanja hadi eneo husika
Mnapoteza Muda, Uonevu kafanya Ilan kwa kuangasha ndege iliyojaa abiri wake na watu wakaandamana na kuwapiga na hiyo the Mahakama yenu kimyaa itakuwa nyie wachache
Mie naona ametumia Kigezo cha Uchaguzi wa 2015 ambapo hata Mgombea wa CCM kipindi alikuwa anafanya kila jambo ili apate kura, wana CCM walikuwa hawawezi hata kuvaa nguo zao kwa kuhofia kupigwa au kuzomea, ila tokea jamaa aingine madarakani, hakuna mtu wa kumzomea mwana CCM kama kile kipindi...
Taarifa kama hii ikishatolewa kie kitengo cha Maafa kilitakiwa kiwe na timu ambayo ishajiandaa kwa lolote katika hiyo miko na tusisubiri mpaka iwe ishatokea, pia kuna umuhimu sana watu kupewa elimu juu ya mambo ya majanga kama haya ya Mvua na namna watakavyojinasua, pia kuwe na Collection point...
Nachojua na kinachotakiwa kufuatwa ni lazima katika likizo yake angesema kama atasafiri na paia angeomba kibali cha kusafiria nje kwenda kwa katibu wake, Vibali vinapatikana kwa urahisi tu mbona, anaandika barua kwa Katibu wake mkuu kuomba hiyo ruhusa ya kusafiri nje ya nchi withn few days tu...
Mie mwenyewe nina laini ya Voda huwa natumia kwa ajili ya data tu na sijawai mpigia mtu lakin majuzi nashangaa nimechomeka modem msg hiyo ta hao matapeli nilijiuliza sana aisee sijui wameijuaje hiyo namba, Vodacom inabidi wajiangalie kwa jicho la tatu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.