Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

huu mti ni tofauti na mti wa dodoki,

Ni kweli, ni miti miwili tofauti, na kwa wale ambao hawajakulia kijijini hawawezi kamwe kujua huu mti, na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu na sisi pia hutumika kuongeza damu mwilini, matumizi mengine sijui. Sisi tunaliita "Lisamwa" kwa kiluga chetu.
 
Aiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda() tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
Umechanganya desa mkuu, dodoki halioti kwenye mti mkubwa kama huo...lenyewe linakuwa linaota kwenye mmea ambao unatambaa na kujifunga kwenye miti mingine
 
Mdodoki unatambaa chini mkuu, jamii yake kama Maboga yanavyotambaa sio huo
Watu dodoki wanalifahamu likiwa sokoni, ila kiukweli miti / mazao mengi ya asili yanapotea yaani miaka ya nyuma midodoki ilikuwa inaota tu hadi uswahilini lakini siku hizi kuuona ni issue zaidi ya dodoki lenyewe kulikuta sokoni
 
Mkisha huo, una kazi nyingi ila moja wapo niku chanjia **** kuwa kubwa
 
HB.com Unaitwa sausage tree kwa lugha ya kigeni au LISAMWA kwa lugha ya kwetu. Maua yake hutumika na akina mama kurefusha "labia manora", tunda lake hutumika na akina baba kurefusha "gegedeo".

kutoka: 22D Arnold st.
 
Ni kweli, ni miti miwili tofauti, na kwa wale ambao hawajakulia kijijini hawawezi kamwe kujua huu mti, na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu na sisi pia hutumika kuongeza damu mwilini, matumizi mengine sijui. Sisi tunaliita "Lisamwa" kwa kiluga chetu.
Mbona umetamka jina lake kama kwetu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom