mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Tukipewa hofu ya MunguNataka nikuulize ukipewa nn utaacha kuchepuka

Michhhh uuuu mbaya bi dada. Nakuja Pmmichi uuuuu kaka
Tunda alilolishwa Adam Na Hawa tukipata tu basi tunaachaMimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Aisee kweli, ni ngumu sana ku maintain ukiwa una dolari mfukoniMama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Aisee kweli, ni ngumu sana ku maintain ukiwa una dolari mfukoni