Recent content by Bwojo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule inayofundisha watoto wenye Autism

    Kwa Wana JF. Kwa yeyote anayejua shule inayofundisha watoto wanao elewa taratibu(slow learner)wengine wanita AUTISM naomba anifahamishe. Ahsante.. Bwojo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    wana JF. Ni kozi gani nzuri chuo kikuu kwa mtu alyefaulu CBG, kwa kupata C,D;D Ahsante bwojo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Wana JF.Naomba mwenye uzoefu. Hivi unaweza kusoma Udakitari au masuala ya afya kama umechukua combination ya CBG? ahsante Bwojo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

    Wana JF. Wenye uelewa naomba msaada wa mawazo hivi mtu akisoma Combination ya CBG anaweza kwenda chuo cha afya/utabibu?Bwojo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Masomo ya Tahususi (combination)

    Habari wana JF. Nina Kijana wangu amemaliza Form Four Mwaka huu na kupata Div. 2. Anataka kusoma PCB. lakini Physics amepata D ,na masomo ya Kemia na Biolojia amepata C na B. Naomba wenye uelewa anisaidie kama anaweza kwenda Form FIVE kwa hiyo combination? Ahsante.Bwojo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ajira ualimu 2015

    :decision:walimu walomaliza cheti mei 2015 watahajiliwa lini
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta vocational skills training school

    nDUGU; Nina kijana wangu ni slow learner amemaliza darasa la saba.Mwenye kujua chuo au shule zinazopokea vijana wa jinsi hiyo anajulishe. Bwj:lock1:
  8. B

    JamiiForums Tanzania Somo la Kompyuta shule za sekondari

    Wana JF. Habari, naomba mnijuze mnao elewa mfumo wa elimu TZ. Kuna combination ya A' level inayo jumuisha somo la Computer. Bwojo:thinking:
  9. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tuition Wanahitajika

    nI MEIPENDA
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

    Hii Kali!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    kazi ipo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anatafuta Kazi ya Ualimu

    Nina kijana msichana amemaliza Ualimu wa shule za Msingi. Anatafuta kazi ya kufundisha wakati anasubiri kupangiwa kazi serikalini mwaka kesho.Anaishi Temeke.Nitashukuru wa JF kwa kunisaidia.Asante.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Wenye chama chao walishapanga mikakati yao;wanajua kuwa hiki kipindi ni tete hivyo wale wabunge wao hawatakuwa na option nyingine ila kukubali matokeo.
Back
Top Bottom