Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

Status
Not open for further replies.
mm nmemaliza 2014 nna
phy-C
chemistry-C
biology-C
math-E
naweza somea kozi za afya?
kama inawezekana je ni kwa cert au diploma?
na vyuo vip vizuri pamoja na ada zake?
pia naweza pata chuo cha serikali?
 
mm nmemaliza 2014 nna
phy-C
chemistry-C
biology-C
math-E
naweza somea kozi za afya?
kama inawezekana je ni kwa cert au diploma?
na vyuo vip vizuri pamoja na ada zake?
pia naweza pata chuo cha serikali?
Inawezekana kabisa tena kwa ngazi ya diploma.
 
Wana JF.
Wenye uelewa naomba msaada wa mawazo hivi mtu akisoma Combination ya CBG anaweza kwenda chuo cha afya/utabibu?Bwojo
 
Wana JF.
Wenye uelewa naomba msaada wa mawazo hivi mtu akisoma Combination ya CBG anaweza kwenda chuo cha afya/utabibu?Bwojo
Hamna shida utasoma tu japo si kila chuo, kuna baadhi wanakubali na vingine havikubali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom