Recent content by butiama2014

  1. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa form two 2021

    Wadau naomba mwenye ratiba ya mtihani wa form two 2021
  2. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

    Babu kuna lift atiii
  3. butiama2014

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Kibamba pako poa sana. Cha msingi kama ina hati. La sivyo ajiridhishe kwamba ni eneo la makaz na afuate taratibu za mauziano kisheria
  4. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri

    Following
  5. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

    Umeshahama Kimara?
  6. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ukweli kuhusu chanjo za kichocho na minyoo mashuleni

    Kwa nini zinatolewa shuleni?
  7. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Sabuni za kuogea za watoto wachanga mpka 5 kutumia mafuta ya nazi

    Zinapatikana wapi na bei?
  8. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Statistician mtaalam wa spss anahitajika haraka sana

    Umeshampata?
  9. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

    Watoto si malaika bali hawana dhambi. Kwa maana kwamba yote wanayoyafanya sio matendo ya hiyari. Ni hatua katika ukuaji. Sio uchoyo bali umiliki wa kitu kama wadau walivyosema. Ila kwa wanaoongea huwa wananakili matendo na maneno yanayotokana na jamii wanayoishi. Nawasilisha
  10. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in tax management

    vizuri ni kuielewa kozi kwa ufasaha kabisa kabla ya kuisoma na uwe umeipenda
  11. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in tax management

    Kwa ushauri wangu kama unaplan kujiajiri angalia kitu ambacho kina uwigo mpana wa kufanya kazi, sio kwamba nakukatisha tamaa ila kuna kazi nyingine kama ajira serikalini hamna unapata kigugumizi kidogo.Jaribu pia kuulizia watu waliosoma field hiyo uone wameajirikaje. Sijaelewa kama tax consult...
  12. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in tax management

    Itakuwa hivyo mkuu maana huwez kujiajiri kukusanya kodi
  13. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    Mimi nakushauri uapply moja kwa moja kwenye kkampuni au shirika husika, unaweza kupata nafasi za kazi kwenye website kama ya kijiwe cha wasomi nk
  14. butiama2014

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

    huu uyanafanana na ya mwaka huu, kumbe kususia bajeti hakujaanzia kta Tulia
Back
Top Bottom