Naomba msaada kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri

Naomba msaada kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri

G MBOLO

Member
Joined
Feb 27, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Habarini wana JF naombeni msaada kwa mtu yoyote anaejua kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri anisadie... Au makampuni ya kuingia nao mkataba wakanirejebishia nyumba za kupangisha Ni maboresho CIO kujenga
 
Tanzania bado tupo nyuma sana katika soko la mikopo.....

Yaani wateja wapo tunakosa watu wenye uwezo wa kushauri vema tu ili project zilipe pesa zirudi.....

Benki zinabakia kugombea wafanya kazi tu
 
Back
Top Bottom