Recent content by Buti la jeje

  1. Buti la jeje

    Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

    Kujenga muhimu ukikwama sanaa basi miliki hata viwanja ..Ni hazina kwako na familia yako
  2. Buti la jeje

    Msaada: Kati ya Mining Engineer na Mineral Processing engineer ipi ni nzuri?

    Kasome Civil jikite zaidi kweny kuchora ramani. Au achana na course za sayansi kasome course za hasa biashara Accounts
  3. Buti la jeje

    Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kasome Accounts at least utatembea hizo nyengine connection inahitajika
  4. Buti la jeje

    Ipi kozi nzuri kusoma chuo?

    Nilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam. Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo
  5. Buti la jeje

    UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    UTT is nzuri ukiwa na mzigo mkubwa at least 50M plus other wise kama una hela ndogo ni longterm investments
  6. Buti la jeje

    Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Akija kua rahisi niite mbwa nimekaa pale
  7. Buti la jeje

    Ushauri kwa kijana aliye maliza chuo

    Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea. Kaa nyumbani tuliza akili na hata kama ukipata kazi usijifukuzishe nyumban mapema kaa mpk utakapoana muda...
  8. Buti la jeje

    SoC02 Jiajiri kupitia ufugaji wa kuku

    Soon naingia humo
  9. Buti la jeje

    Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

    Principle ya kukopesha: Kopesha unachoweza kupoteza..!!!!
Back
Top Bottom