Msaada: Kati ya Mining Engineer na Mineral Processing engineer ipi ni nzuri?

Msaada: Kati ya Mining Engineer na Mineral Processing engineer ipi ni nzuri?

Mineral processing engineering ni kozi isiyo ni competition sana sokoni,

Ukisikia au kuona tu posts zake zimetangazwa hesabu umepata kazi.

Ila ndio ujiandae kukaa bench hata 2 and more years kusubiria posts zake serikalini au binafsi ila utaajiliwa tu (100%).
 
Mineral processing engineering ni kozi isiyo ni competition sana sokoni,

Ukisikia au kuona tu posts zake zimetangazwa hesabu umepata kazi.

Ila ndio ujiandae kukaa bench hata 2 and more years kusubiria posts zake serikalini au binafsi ila utaajiliwa tu (10
Je naangalia kwenye soko la kujiajiri
 
Mining eng inalipa ila soko limited bongo Kama ni hadi huko Duniani uarabuni,west Africa Australia,kula mining.
Kama unaweza badili kula mechanic eng hii ni general popote unaingia viwandani,migodini,nk
 
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.

Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.

Naomben ushauri
Sasa madini yenyewe ya kuchimba yapo wapi jaman maana naona kama tumeyagawa yote
 
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.

Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.

Naomben ushauri
Hizo sina uzoefu nazo ila kama kuna uwezekano wa kubadili na kama huna connection nenda kasome moja kati ya hizi..

1. Civil

2. Mechanical

3. Electrical

4. Architecture

5. Geomatic/quantity survey
 
Mtoto wa maskini usome Mining! Uta jiajiri Bodaboda 2028.
Kuna Dogo langu nilimwambia asome Medical Doctor aka goma. Leo ni boda boda mwaka 2 huu na Mining yake ya UDSM
 
Back
Top Bottom