Ipi kozi nzuri kusoma chuo?

Trust me usiombe ukiwa wakwanza ktk ukoo wenu ukamaliza shule bilamuongozo wwt. ..namuelewa sn mtoa mada. ..nishida sn ilaangalia kwanza unataka kua nani halafu angalia ufaulu wako. .unaweza chukua BA economic ..administrative course pia zinakufaa
 
B.Commerce in Accounting and Finance, Procurement and Logistics Management na ucheze na GPA ya 3.5 - 4. Unaweza kupata ajira kwenye Kampuni binafsi na hata serikalini, kuna mwana kasoma Mzumbe PLM hata mwaka hajamaliza kapata kazi kwenye private sector na juzi kaajiriwa serikalini.
 
Back
Top Bottom