Recent content by Bushmaster

  1. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Suala la mafuta ni political issue, mwaka 2016 kushuka chini mafuta lita yalikua 1,500/= lakini bado mtu alikua anatafuta ist kubana mafuta, nunua gari roho inapenda, mafuta ni politics yanaweza shuka mda wowote
  2. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakike wanapelekaga wenyewe mbona
  3. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

    Anasema ni adui yake, bila shaka angetumia hii nafasi kummaliza kabisa, ni kama alikua amepewa penalty bila kipa, Unasema wewe ni adui yangu na umepewa nafasi ya kummaliza alafu unakimbia, Huyo ni rafiki yako,hawa ni marafiki
  4. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Yellow Fever Vaccine Certificate nipo Morogoro (Yellow Fever Card)

    Unataka kwenda kucheck game ya mnyama na mighty wanderers,
  5. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019/2020 Ungemwambia Polepole kwamba ikifika mwaka 2026 kutakuwa na Free Polepole angekubishia kabisa

    Labda hawajaelewa na wakadhani ni Uhasi ndio ulimfikisha pale,ila mlio ndani ya mfumo na unajua siri za mfumo, ukitoka kwa namna yeyote ile kwa kustaafu au lah wewe ni target,kila mtu anao wajibu
  6. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya Dry cleaner anijuze

    Tafuta location lakini lodge na hotel za karibu ambazo hazina huduma za kufua au zinategemea wafuaji wa mikono wote ni wateja wako, usishahu commision,kila nguo ya mteja wa lodge meneja apate percent
  7. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

    Rushine nae pumba sana pale nyuma
  8. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Shangazi yangu hadi leo ananichukia kisa mimi niligoma ku-tune Redio Maria, badala yake nilikomaa na XXL ya Clouds FM

    Ungemsikiliza shangazi yako, Shangazi ni baba
  9. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, tumbo langu hujaa gesi na kupatwa kilungulila (heartburn)

    Kama hujapata dawa nicheck, inawezakua vidonda vya tumbo au other causes,Dawa ipo na unapona kabisa hata wale wenye matatzo ya kujaa gesi baada ya tendo nichek
  10. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    F.A kama yupo hovuless hivi
  11. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Mpira ukiisha tutarudi
  12. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

    Tatzo hutoagi ganji kwa wana,ndio maana hawakurudisha
  13. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Pole,ila ni kama story umeanza kwa kuhitimisha na sio mwanzo, kuna mengi ya kueleza na wengi wakajifunza
Back
Top Bottom