Wale wapo vizuri nawakubalBelgium hawana historia yoyote ya kuvutia kwenye mashindano haya.
Timu za Ulaya ambayo haijachukua Ubingwa na wana historia nzuri ni Netherlands pekee' wamecheza fainali kadhaa.
Oya utakua mchawiUmenielewa sasa? Watakuja speed hawa kwasababu washajua ujinga wa sisi waafrika.
Usitumie neno "ujinga", tumia neno "uafrika"Ujinga umeanza sasa
Jamaa yupo sahihi unaona huyo Kima aliyekosa sasa hivi wa SenegalOya utakua mchawi
Hawawezi kukutana wote wataacha ndala robo fainaliSenegal wapite wakutane na Morocco hukp huko wamalizane
Haikuwa offside ile Mane kazingua tuBelgium walikuwa wanasakwa latatu hapa ni bahati kwao imetokea offside
Striker yeyote pale anafunga. Kwa sasa Lukaku ana msaada mdogo pale mbele.Tulimbeza Lukaku