Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,695
- 130,562
Oh my God!!! kipi haswa kilichokufanya uone nimebadili msimamo wa Atheism?Huna msimamo kama shabiki wa Ronaldo. Wewe si huamini mambo ya Mungu?
Oh my God!!! kipi haswa kilichokufanya uone nimebadili msimamo wa Atheism?Huna msimamo kama shabiki wa Ronaldo. Wewe si huamini mambo ya Mungu?
Naona wamekataa utejaAmka mzee, hawa ni wamoto kama nini
Kajaa kwenye mfumo wa Senegal😀Kocha wa belgium ana desa la mbinu,ila naona kashaishiwa
Ila haijaisha. Sifa za waafrika ni kufurahia mafanikio katikati ya safari.Naona wamekataa uteja
Lini waliwah kua vzur, Senegal nzuri ila ubelgiji mbovu piaUbelgiji ni mbovu au wamekutana na kitu kizito?
ImeishaIla haijaisha. Sifa za waafrika ni kufurahia mafanikio katikati ya safari.
Nadhani Senegal wanatuma ujumbe kuwa uke ubingwa wa Afcon wali deserveSenegal wapite wakutane na Morocco hukp huko wamalizane
Belgium hawana historia yoyote ya kuvutia kwenye mashindano haya.Hivi wana historia gan kwenye hii michuano maana naona hawafikagi mbali
Umenielewa sasa? Watakuja speed hawa kwasababu washajua ujinga wa sisi waafrika.Imeisha