Recent content by Bush Airo

  1. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Bondia mrembo zaidi duniani Laila Ali

    Anaweza kufinyia ndani?
  2. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Mitandaoni unaongezeka kila kukicha

    [emoji23]hii kitu kuna mtu namfahamu kabisa alipigwa mchana kweupe baada ya kupigwa ndiyo akajifanya kuomba ushauli
  3. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Zijue Injini 5 za Japan zilizopendwa sana na zenye nguvu sana

    Hii ni ndugu yake na 1vd-ftv A.K.A Vdj 200 ni moto wa kuotea mbali mazee sijawai jutia kuitumia hii Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

    Hii stori peleka kwenye uzi wa kula kimasihara [emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kutumia V 8 sasa je, ni gari gani nyingine inafaa

    V 8 gari?au V 8 injini[emoji1787]
  6. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Masista (nun) wa Catholic wanavyofanya Kilimo Na Biashara ya Bangi

    Uo mmea ni tiba nzuri na yenye matokeo ya haraka kwa wale wenye matatizo ya kutoka usaha sikioni.
  7. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali ana Ofisi Kikanda

    Wametengana kwenye maswala ya kifedha tu lakini mambo yote ya kiutawala yapo kwenye ofisi ya Ag
  8. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali ana Ofisi Kikanda

    Ofisi ya Dpp ni ofisi iliyo chini ya ofisi ya Ag
  9. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya vijana wa Tanzania...

    Uzee siyo sifa na ujana siyo kigezo.
  10. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Naomba maombi ili niwe na uwezo wa kuchukua hela mahali bila kuonekana

    Mungu huwajibu wale tu wanaotafuta mapenzi yake na wanaoomba kwa imani
  11. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumfanya mume awe mtulivu(asipagawe na vicheche)

    Enyi wake waheshimuni waume zenu
  12. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Haina ukweli wowote kwa sababu mshahara unaongezeka kwa asilimia sasa serikali haijatuambia imeongeza asilimia ngapi kwa mwaka huu wa fedha maana mwaka jana waliongeza asilimia 41
  13. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Askari Police kung'oa plate number ya gari ni haki?

    Hiyo ni kazi ya TRA maana wao ndiyo wanatoa usajiri wa gari husika
  14. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Tafuta bangi mbichi itwange mpaka itoe maji kisha hifadhi yale maji sehem salama weka tone moja asubuhi na jioni utaona matokeo ndani ya wiki moja nilifanya hivyo kwa mtoto wangu alipona na hajawai kusumbuliwa tena na ugonjwa wa sikio
  15. Bush Airo

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Hata vitabu vya Mungu vinakataza ole wao wafiraji.
Back
Top Bottom