Miujiza ya vijana wa Tanzania...

Miujiza ya vijana wa Tanzania...

Komando Kipensi

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Ikiwa Zimepita siku mbili tangu Jaji Mstaafu Warioba na MWenyekiti wa tume ya katiba iliokusanya Maoni Kutangaza
Na kutoa maoni yake kua vijana wanafaa kuongoza nafasi ya uraisi na kwamba wazee wabaki washauri Tuu.. Vijana wa taifa hili wamelipokea wazo hilo kwa kushituka

Vijana wachumia tumbo wameonekana kupingana vikali wazo hili maana wananufaika na wazee walioliibia taifa hili kwa mdaa mrefu vijana wamekua wakirumbana saana kwenye mitandao ya kijamii kupinga saana kwamba hawawezi

Ukweli wa mambo vijana wanaweza ongoza taifa hili nyerere aliliongoza akiwa na miaka 38 tuu Nawaomba vijana tuungane kuwauunga vijana watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo ifikapo 2015

Unakuta kijana anakesha anamwongelea lowasa mara dr slaa ukiingalia kwa kina kumbe anapewa viposho acheni ujinga 2015 Tulirudishe taifa kwa vijana....
Vijana kuwaunga mkono wazee ni Muujiza katika taifa lolote

Bravo January MAkamba Tumsubiri Mwigulu nchemba tumsubiri wenje tumsubiri sugu
Kwangu mimi Mwigulu nchemba ni kiongozi anaefaa
1. Ni jasiri
2.Mzalendo
3.Muadilifu
4.Mtu makini
5. Mtu mwenye hekima
6.Mapenzi mema na taifa laks
7.anntokana na familia Maskini
8. MSOMI MCHUMI DARAJA LA KWANZA
 
mimi naona vijana wanaofaa ni lema, sugu au kibajaji.

Mwegulu ni GAIDI
 
ww ng'wigulu unaona unafaa kuwa rais wa hii nchi,tumewaona vijana wakivurunda kwenye wizara maige,ngeleja malima,ww unatuhuma za kuwalipua wapinzani na ushahidi uliahidi kuutoa hata kama ni mbinguni,vilevile ww na nkamia ndio mnaoongoza kwa kutumia lugha mbaya bungeni,Hata hivyo mtawala aliyepo watz waliaminishwa ni kijana hivyoangefaa lkn wapi, elimu imezidi kudorora,deni lataifa limepaa,uwezo wa kununua umeshuka,bado wizi wapesa za uma umeendelea na kwa sababu za umri kusafiri haoni kama ni tatizo hivyo muda mwingi yuko ANGANI,Umri isiwe HOJA kwenye mjadala wa uongozi,Hoja iwe Uadilifu,
 
umeanza mada vizuri halafu huko mbeleni ukateleza, ni kama kualika watu msosi afuu wakisha 'serve' unaachia uharo in their presence.
#justSaying
:thinking:
 
Ikiwa Zimepita siku mbili tangu Jaji Mstaafu Warioba na MWenyekiti wa tume ya katiba iliokusanya Maoni Kutangaza
Na kutoa maoni yake kua vijana wanafaa kuongoza nafasi ya uraisi na kwamba wazee wabaki washauri Tuu.. Vijana wa taifa hili wamelipokea wazo hilo kwa kushituka

Vijana wachumia tumbo wameonekana kupingana vikali wazo hili maana wananufaika na wazee walioliibia taifa hili kwa mdaa mrefu vijana wamekua wakirumbana saana kwenye mitandao ya kijamii kupinga saana kwamba hawawezi

Ukweli wa mambo vijana wanaweza ongoza taifa hili nyerere aliliongoza akiwa na miaka 38 tuu Nawaomba vijana tuungane kuwauunga vijana watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo ifikapo 2015

Unakuta kijana anakesha anamwongelea lowasa mara dr slaa ukiingalia kwa kina kumbe anapewa viposho acheni ujinga 2015 Tulirudishe taifa kwa vijana....
Vijana kuwaunga mkono wazee ni Muujiza katika taifa lolote

Bravo January MAkamba Tumsubiri Mwigulu nchemba tumsubiri wenje tumsubiri sugu
Kwangu mimi Mwigulu nchemba ni kiongozi anaefaa
1. Ni jasiri
2.Mzalendo
3.Muadilifu
4.Mtu makini
5. Mtu mwenye hekima
6.Mapenzi mema na taifa laks
7.anntokana na familia Maskini
8. MSOMI MCHUMI DARAJA LA KWANZA

Alliance for Cowards and Traitors yaani kwa kifupi ACT!
 
Ulianza vizuri kujenga hoja ukaja kuharibu mwishoni pale ulipotamka kwamba Mwigulu anafaa. Mwigulu yupi huyo? Huyu huyu Lameck Madelu ninayemjua? Hapo umepoteza point kabisa.

Tiba
 
Ikiwa Zimepita siku mbili tangu Jaji Mstaafu Warioba na MWenyekiti wa tume ya katiba iliokusanya Maoni Kutangaza
Na kutoa maoni yake kua vijana wanafaa kuongoza nafasi ya uraisi na kwamba wazee wabaki washauri Tuu.. Vijana wa taifa hili wamelipokea wazo hilo kwa kushituka

Vijana wachumia tumbo wameonekana kupingana vikali wazo hili maana wananufaika na wazee walioliibia taifa hili kwa mdaa mrefu vijana wamekua wakirumbana saana kwenye mitandao ya kijamii kupinga saana kwamba hawawezi

Ukweli wa mambo vijana wanaweza ongoza taifa hili nyerere aliliongoza akiwa na miaka 38 tuu Nawaomba vijana tuungane kuwauunga vijana watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo ifikapo 2015

Unakuta kijana anakesha anamwongelea lowasa mara dr slaa ukiingalia kwa kina kumbe anapewa viposho acheni ujinga 2015 Tulirudishe taifa kwa vijana....
Vijana kuwaunga mkono wazee ni Muujiza katika taifa lolote

Bravo January MAkamba Tumsubiri Mwigulu nchemba tumsubiri wenje tumsubiri sugu
Kwangu mimi Mwigulu nchemba ni kiongozi anaefaa
1. Ni jasiri
2.Mzalendo
3.Muadilifu
4.Mtu makini
5. Mtu mwenye hekima
6.Mapenzi mema na taifa laks
7.anntokana na familia Maskini
8. MSOMI MCHUMI DARAJA LA KWANZA

Mada yako ilikua na muelekeo ila hapa mwisho umekosea naeza sema na wewe ni kijana mshabiki wa pande fulani which is not the case in issue na ukiwa na bachelor ya uchumi uliyopata kwa kuzima moto kipindi cha UE kwa bahati ukapata upper second au lower second itatusaidia nini?ungeongelea kuhusu potentiallity and wisdom ya kijana huyo atakaechaguliwa ninge unga mkono mada
 
Ikiwa Zimepita siku mbili tangu Jaji Mstaafu Warioba na MWenyekiti wa tume ya katiba iliokusanya Maoni Kutangaza
Na kutoa maoni yake kua vijana wanafaa kuongoza nafasi ya uraisi na kwamba wazee wabaki washauri Tuu.. Vijana wa taifa hili wamelipokea wazo hilo kwa kushituka

Vijana wachumia tumbo wameonekana kupingana vikali wazo hili maana wananufaika na wazee walioliibia taifa hili kwa mdaa mrefu vijana wamekua wakirumbana saana kwenye mitandao ya kijamii kupinga saana kwamba hawawezi

Ukweli wa mambo vijana wanaweza ongoza taifa hili nyerere aliliongoza akiwa na miaka 38 tuu Nawaomba vijana tuungane kuwauunga vijana watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo ifikapo 2015

Unakuta kijana anakesha anamwongelea lowasa mara dr slaa ukiingalia kwa kina kumbe anapewa viposho acheni ujinga 2015 Tulirudishe taifa kwa vijana....
Vijana kuwaunga mkono wazee ni Muujiza katika taifa lolote

Bravo January MAkamba Tumsubiri Mwigulu nchemba tumsubiri wenje tumsubiri sugu
Kwangu mimi Mwigulu nchemba ni kiongozi anaefaa
1. Ni jasiri
2.Mzalendo
3.Muadilifu
4.Mtu makini
5. Mtu mwenye hekima
6.Mapenzi mema na taifa laks
7.anntokana na familia Maskini
8. MSOMI MCHUMI DARAJA LA KWANZA
Ndugu Komando Kipensi Usichaguwe Mtu kwa sababu ya kumpenda wewe binafsi mchaguwe mtu mwenye kuwa na sifa za uongozi. Au usimchaguwe mtu mwenye kutukana ndani ya Siasa ukimuona mtu anapenda kuwa na yeye siku moja aende Ikulu basi ujuwe huyo mtu ni mroho wa madaraka. Mchaguwe mtu anayefaa kuongoza nchi pasipo na kuogopa mtu yoyote yule au chama chochote kile cha Siasa asante huo ndio ushauri wangu.

Hapa ni MziziMkavu tu ndiye anayefaa. Kwa pamoja tumpigie makofi kijana wetu.
Asante Mkuu Mkereketwa_Huyu kwa kunipendekeza mimi lakini huwezi kuwa kiongozi mzuri wakati viongozi wenzako ni mafisadi wala rushwa na wanaopenda kung'ang'ania madaraka utakuwa Kiongozi mzuri mmoja ndani ya Serikali inayoongozwa na Vioongozi mafisadi hutoweza kufika mbali wale wale viongozi wenzako ndio watakao kumaliza asante.
 
Ikiwa Zimepita siku mbili tangu Jaji Mstaafu Warioba na MWenyekiti wa tume ya katiba iliokusanya Maoni Kutangaza
Na kutoa maoni yake kua vijana wanafaa kuongoza nafasi ya uraisi na kwamba wazee wabaki washauri Tuu.. Vijana wa taifa hili wamelipokea wazo hilo kwa kushituka

Vijana wachumia tumbo wameonekana kupingana vikali wazo hili maana wananufaika na wazee walioliibia taifa hili kwa mdaa mrefu vijana wamekua wakirumbana saana kwenye mitandao ya kijamii kupinga saana kwamba hawawezi

Ukweli wa mambo vijana wanaweza ongoza taifa hili nyerere aliliongoza akiwa na miaka 38 tuu Nawaomba vijana tuungane kuwauunga vijana watakaojitokeza kugombea nafasi hiyo ifikapo 2015

Unakuta kijana anakesha anamwongelea lowasa mara dr slaa ukiingalia kwa kina kumbe anapewa viposho acheni ujinga 2015 Tulirudishe taifa kwa vijana....
Vijana kuwaunga mkono wazee ni Muujiza katika taifa lolote

Bravo January MAkamba Tumsubiri Mwigulu nchemba tumsubiri wenje tumsubiri sugu
Kwangu mimi Mwigulu nchemba ni kiongozi anaefaa
1. Ni jasiri
2.Mzalendo
3.Muadilifu
4.Mtu makini
5. Mtu mwenye hekima
6.Mapenzi mema na taifa laks
7.anntokana na familia Maskini
8. MSOMI MCHUMI DARAJA LA KWANZA
Unauongeleaje mgogoro wake wa Jinale la Kisukuma hali ya kuwa yeye ni Mnyiramba?
Hapa JF GT walilitanabaisha hapa naye hakujitokeza kukubali wala kukanusha.
 
Hivi uraisi umekuwa raisi hivyo...leo hii watu wanasema mwigulu anafaa kuwa raisi..kafanya nini mpaka afae..acheni kudhalilisha nchi bana
 
Back
Top Bottom