Recent content by busara ya mzee

  1. B

    Lema Aunguruma Manzese,Dar

    Alipo vuliwa ubunge na ikulu alisema atafunga na kusali na kisha atazunguka nchi nzima,na mungu ataonyesha maajabu yake,...ndugu zangu bado mh lema hajamaliza kazi............
  2. B

    Around the world -- Photos

    mbona hakalii kiti?
  3. B

    Makada wa Chadema wazidi kujitokeza kuwania kumrithi Lema

    Poa tu kamanda, hao wote ni makamanda wetu wote wana sifa zao,iwapo kutakuwa na uchaguzi wapo wengi tu,lakini ni utaratibu wa chama cheyu utafuatwa,hivi sasa ni maneno tu......kamanda lema endelea kujenga chama nje ya arusha
  4. B

    Ndege iliyokuwa na ujumbe toka Ivory Coast yazuiwa kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA)

    Huyo msimamizi yuko sahihi, na watu kama yeye ndiyo wanaofukuzwa kazi kwa kuwa wakweli,kunauzembe hapo,hatuwezi kufanya kazi kwa kuongea kwa simu kwani wasaidizi wa rais hawatambuliwi kwa sauti zao kwenye simu, na wewe mtoa maada hii unatia shaka kwanini unamuhukumu kwamba ana kiburi,na si mtu...
  5. B

    Serikali ya CCM yazidi kuchafuka UDOM

    Tuwasamehe watoto wetu,wadogo wetu wake kwa waume,waliyofanya 2005,siyo wanayofanya sasa,wamepevuka wanachofanyiwa sasa ni kunyanyaswa kwa kupevuka kwao,tukumbuke wao ndiyo wanaleta mabadiliko sasa,..ushauri wangu kwenu,enendeni kwa jamii yenu kila pembe mnapotoka mshitaki kwa wananchi na...
  6. B

    Lowassa akataza wanachama kuhama CCM

    Wakuu bado natafakari haya, EL kama ni kweli anaweza kuwaambia watanzania maneno haya....kweli?..mbona anajisema yeye mwenyewe?...Lo!
  7. B

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    Duu!,mkuu wewe kiboko
  8. B

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    Mkuu wewe kiboko!
  9. B

    Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kuvuliwa ubunge kwa wana Arusha

    Jamani tujaribu kuwa wastaarabu,....watu wajinga wanajadili watu,watu wenye hekima wanajadili hoja
  10. B

    Zitto adaiwa kuhongwa kuitetea CHC -Tanzania Daima

    Chadema mwendo mdundo.....Mh mbowe na Mh zitto pigeni kazi,mnavyo fanya kazi tunaona,viongozi na wabunge wa chadema wamejipanga,nani na yupi ashambulie upande upi...sasa ni muda wa chadema kuwa macho na kuwa na mshikamano hasa viongozi wa kitaifa na wabunge,...ccm wanajipanga kimya kimya tena...
  11. B

    Vita ya Gazeti la Mwananchi na Joshua Nassari- Limekosa hoja

    Bado ni tetesi, kwamba gazeti la mwananchi itatumiwa kuchafua chadema kwa kuandika habari ambazo itawafanya wananchi kuwa na hisia mbaya na chadema,tangu wakati wa uchaguzi wa arumeru mwandishi wao mmoja alikuwa anatumia jina la bandia kwa taarifa zake,na inapangwa baada ya kuona mwananchi...
  12. B

    Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    Hakuna kitu hapo wewe ni mbeya,watu wapo makini,,,,magamba wapo kazini wanapima joto la chadema....viongozi wa cdm pamoja na zitto pigeni kazi,bado watazusha mengi zaidi hili
  13. B

    EX lover wa Obama atoboa siri zake...

    Do you really wanna know where america heading?...kweli?
  14. B

    Wajumbe ccm watishia kujiuzulu

    Waondoke ni mizigo,vyuma chakavu....kasema nape
Back
Top Bottom