Vunjavunja
Member
- May 18, 2012
- 92
- 11
- Thread starter
- #41
Nimekubali **** watu hawajui maana ya jamii, anayejua vizuri maana ya jamii atoe maelezo ya kutosha ili wana jf wamalize juu ya mkanganyiko kuhusu UDOM.
WanaUDOM, si kwamba huyu Mboko anawachukia hata awape vidonge vichungu hivi. No, anawapenda sana ila ameamua awapimie dozi iliyo sawa na 'ugonjwa' wenu wa akili ili next time mfanye maamuzi intellectually. Shame on you UDOM!!!Hawa vilaza si ndio waliandamana juzi kumpongeza Jakaya Kikwete kwa kuunda baraza la mawaziri 55 duuh sasa iweje leo walalamike ati Gamba lao linawafanyia vibaya.Poleni sana nafikiri mlisahau ule usemi usemao wajinga ndio waliwao na bado
Wewe ndo mwehu kabisa, msomi mzima tena wa university unakaa kulalamika kwenye mitandao badala ya kuchukua hatua stahiki?Wewe hauna kitu kichwani hivi unafikiri watuwalio jiunga udom 2010 na 2011 walikuwepo mda wa kumchangia kikwete pia hata waliokuwepo walikuwa wote wana ccm ficha upumbavu wako.
ACHA VIJANA WAPUNGUZE HASIRA KWA KUONGEA
SAUT hakuna hata tawi la Ccm labda cuf hayo unayosema ni uzushi kama unabisha muulize Nape pumbavu ww unatumia hela ya baba yako kununua form za fisadiNinyi SAUT mbona juzi mlikuwa na uchaguzi wa serikali ya wanafunzi na zilikuwepo pande mbili za CCM na CDM mimi kama mtu anayeelewa maana ya jamii ni nini? Siwezi kusema kuwa chuo cha saut wote ni cdm hama ccm nitakuwa ni mjinga ambaye nina upungufu wa kufikiri ndo maana tunasema ktk jamii yoyote lazima pande mbili zinazokinzana ziwepo. Kuwa na mawazo ya kutambua kama msomi wa chuo ambaye anategemewa na jamii kama mwasisi wetu J.K .Nyerere alivyoishawai kusema kuwa wanafunzi wa vyuo wanaandaliwa ili wakaisaidie jamii je unataka kuniambia kuwa wewe ukienda urahiani utawasaidia watu wanaohami ktk upande wa cdm au ni wote walioko ktk jamii nzima?
CCM yazidi kupoteza imani kupitia kwa wasomi wa vyuo, itambulike kuwa chuo kikuu cha UDOM kina wanafunzi wa kila pande ya nchi wapo wa Mtwara(kusini), Kigoma (magharibi), Kagera (kasikazini magharibi), Arusha (kasikazini), Dar-es-salaam (mashariki) na mikoa mingine yote ya Tanzania bara na Zanzibar, ni kilio ambacho watakikumbuka miaka ijayo. Kitu ambacho wanatufanyia wanafunzi wa UDOM kutucheleweshea mkopo wetu ni njia mwafaka ya kwenda tunatangaza sera mbaya kwa serikali ya Tanzania (CCM), Kiukweli ccm ndo mwisho wa utawala wao maana tumejipanga kwenda kueneza cdm katika kata zote hapa nchini wasidhana kuwa wanatunyanyasa sisi ila wajue wanatengeneza bom ambalo litawalipua mda wowote yangu ni hayo wa jf ni kweli tumechoka hali ya wanafunzi ni mbaya pale wazazi wa wanafunzi wa Udom litambueni ndo serikali yetu inayotufanyia haya ikiwa wachache wanajilimbikizia mali ya umma wengi wanakufa na njaa. Mungu ibariki udom.
Tuwasamehe watoto wetu,wadogo wetu wake kwa waume,waliyofanya 2005,siyo wanayofanya sasa,wamepevuka wanachofanyiwa sasa ni kunyanyaswa kwa kupevuka kwao,tukumbuke wao ndiyo wanaleta mabadiliko sasa,..ushauri wangu kwenu,enendeni kwa jamii yenu kila pembe mnapotoka mshitaki kwa wananchi na kueleza mabadiliko yanayo takiwa katika nchi yetu ifikapo 2015,...tunawapenda sana na msome kwa bidii pamoja na shida zinazowakabiliteh teh teh,,,,walimnunulia form etiiii,,,,yaan hiyo dhambi haitawaisha wala kuwatoka hata waje wanafunzi wa miaka miaka,,,,,,mingapi?????
Wewe ndo mwehu kabisa, msomi mzima tena wa university unakaa kulalamika kwenye mitandao badala ya kuchukua hatua stahiki?
Unasema 2010 wengine hawakuwepo, je, waliomsindikiza Kikwete juzi kwenda kuzindua blog ya CCM walikuwa ni akina nani? Si ndiyo hao hao walioingia 2010 na 2012? Kama hawerepresent mawazo ya wana UDOM, kwanini hawakuwarushia mawe hao wanaojipendekeza kwa CCM? UDOM ni chuo cha CCM, na mtakula jeuri yenu. Tena nimesikia na St. John waliowasindikiza nyie kwenda kuzindua blog na wenyewe hawajapewa boom, kwa kweli hii imekaa vizuri sana. Nadhani liwe fundisho kwenu kujipendekeza CCM.
Tanzania kuna vyuo vingapi hadi kila siku iwe ni UDOM tu inayotengeneza title magazetini kwa kuiunga mkono CCM? Eti hadi mmeanzishiwa mkoa wa CCM wa vyuo vikuu. Lol, mnanichefua kabisa nyie wasomi wa UDOM. Kwa hakika natamani mkose bumu mwaka mzima pengine mtajifunza kuwa wanaharakati kama wenzenu UD. Hamjiulizi kwanini UD na campus zake zote walishapata hela, mmebaki ninyi?
Subirini tu zitakuja zenyewe, ukizingatia hata kufanya maandamano mnaomba kibali kutoka kwa Nape, unategemea nini?
Huu ni us....e mtupu! Je udom kununua fomu ndo imeletea gvt kuwa iresponsible? Ndo imefanya huduma za kijamii na uchumi kuwa ovyo? Na nani alisema wanafunzi wote wa udom walitoa fedha zao na ni wanachama wa ccm? Km angechangiwa CHADEMA na hali ikawa km ilivyo mngelaumu? Acheni kuwa u-bias tena wa kijinga! Once i thought watu wanaoingia jf ni great thinkers bt kuna wengne hapa ni mapimbi na magreat stinkers. I thnk critical thnker angewalaumu wanafunzi walionunua hyo form instead of blaming udom. By the way hzo milioni 1 tangu cjui 2010 zingekuwepo mfukoni tu? Na je kuna ubaya mtu kuonesha mapenzi kwa kiongozi wake? Why hamuwatukani waliomtangaza kuwa masiha? Hz kauli za "udom mtajiju, mlichangia fomu, blah blah blah!" hunikera na wanaozitoaga nawaona watu wenye akili ndogo kama ya kondoo! PYAA!
Inamaana Nape amewatema baada ya kuwalisha ubwabwa?
Wahaya tungesema "NIKYO KITAMBILA ABASHUTI EMBALIGA"