Recent content by busar

  1. B

    Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

    Ikowapi hii maktaba walau nikitembelea bandari salama nifike
  2. B

    PreGE2025 Prof. Anna Tibaijuka asikilizwe kuhusu Mgombea Binafsi. CCM iache woga na udikteta

    Marekan hakuna Democrasia. Ni watu ignorant tu ndo wanadhani na kuamini kuwa USA ina hii Democrasia ya kipuuzi iliyoletwa Africa
  3. B

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Hapo mwisho kwenye maslahi umma ndo akili ilianza kutulia lkn kwa bahati mbaya haujapaendeleza
  4. B

    Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

    Bila Slaa Chadema, kinabaki Cha Walutheri. Waislam wana ACT Wazalendo. Wakatoliki hawana pa kushika, kura za Wakatoliki wengi zitategemea msimamo wa TEC
  5. B

    CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Kutoka EAC ya Zamani
  6. B

    Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  7. B

    Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    Na ukitofautiana na wateuzi hata kama umetoa wazo bora lakn liko tofauti nao unakaa kando
  8. B

    Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    Ubalozi kwa Tz ni sehemu ya kuwatupia watovu wa nidhamu. Hakuna clear policy.
  9. B

    RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

    Tuna viongozi hawajakomaa. RC ana vyombo chini yake na juu yake. Wako wenye vyombo hivo. Awaagize.
Back
Top Bottom