Recent content by Burigi

  1. B

    Watanzania na hofu ya wasilolijua

    Wakati Chama cha Chadema wakifungua mkutano Wao wa uzinduzi wa kampeni ,Mheshimiwa Sumaye akihutubia mkutano huo alisema WATANZANIA wamekuwa wakitishwa na kudanganywa na kutawaliwa na hofu ya wasilolijua , usipotafakari maneno ya Sumaye unaweza uakayapuuza , lakini ukiyatafakari kwa mapana...
  2. B

    iPhone 5 16GB inauzwa kwa bei cheee

    Mimi ninahitaji ni pm Biashara tutafanya Leo hii hii.
  3. B

    Baraka Obama atuma wanajeshi 4000 AM-Ebola

    Is Ebola terrorist?
  4. B

    Mh. Dr. Mwakyembe ushauri huu muhimu

    Wakati nikifuatilia kipindi cha mahojiano ya TV ya dr Mwakyembe alitokea rafiki na jirani yangu ambaye ni ofisa wa polisi kwanza alimsifu sana mh mwakeymbe kwa uchapaji wake kazi ila akasema kinachomwangusha ni kutoshirikisha mawazo nje yake na hii imekuwa ni tabia ya viongozi wengi wa...
  5. B

    Wabunge wa CCM kugawa muda wa kuchangia kwa Mawaziri ni hujuma

    Wana CCM wenzangu wabunge wetu tumewachagua ili mtuwakilishe kutusemea bungeni hakuna ubishi kwamba kuna mambo mengi ya kusema na kuyashuguhlikia kilichotokea leo kwa wabunge 15 wa CCM waliopanga kuzungumza leo lakini wakatokea watano tu wengine mda wao wamewapatia mawaziri wa serikali wautumie...
  6. B

    CCM: Tutajidanganya Hadi Lini?

    Mzee mchambuzi bahati mbaya kubwa mtu anapokaribia kufa au akiwa katika hatua ya kukata roho hata mnapomuombea dua au maombi kwa mola wake ampe nafuu ili aweze kuamka na kuendelea na maisha au afe vizuri akiwa ametubu madhambi yake huwa haelewi hajitambui lakini hiyo isitukatishe tamaa kumuombea...
  7. B

    CCM tupo katika mwanguko mkubwa

    Watanzania wenzangu wana CCM wenzangu leo hii napenda kutoa ukweli mchungu ambao wenzetu hawataki kuusema aidha kwa makusudi ili liwalo na liwe, au kwa woga wa madaraka,au kuogopa kuwaudhi wakubwa au kwa faida ya matumbo yao wasiharibu nafasi na vyeo vyao hivyo wote tupo kimya kila mtu...
  8. B

    Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

    Inasikitisha sana hali inayoendelea hapa nchini kwa sasa, kila mwenye kuipenda nchi hii hawezi kuishabikia wala kuikubali kila mwenye kupenda nchii lazima atakuwa ni mwenye huzuni hali ni tete hali inatisha mauaji ya raia hayavumiliki tena,wanaokufa ni kaka baba watoto wajomba rafiki mashemeji...
  9. B

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Unapokuwa kwenye nyumba ya vioo usipige mawe kwenye nyumba ya nyasi, nimeshtushwa sana na kitendo cha bwana mwigulu mchemba kiongozi wa juu kabisa ndani ya safu ya chama chetu kushiriki kumvisha mbwa bendera ya chadema kumbuka huyu bwana na mweka hazina wa chama cheo chake ni kikubwa bahati...
  10. B

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    Leo katika bunge nimemsikia mwanasiasa kijana kabisa akisema kwa kujiamini kuwa ana uhakika yeye anao uzalendo wa kutosha na hata kuweza kumudu nafasi ya amiri jeshi mkuu wa Tanzania, wiki iliopita kuna post nilichangia kuwa kuna watu wanamdanganya zito naye ameamini kuwa ni maarufu na...
  11. B

    Kikwete na Lowassa: Kazi imeanza rasmi!

    Habari ambazo nimezipata kwa watu waaminifu zinasema leka tutigite ni miongoni mwa mipango kamambe ya kugombea urais kwa mheshimiwa huyu na sasa hivi amekuwa karibu sana na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi na governement system wakimuahidi kumsaidia na vikao vingi vimekuwa vikifanywa kumuandaa na...
  12. B

    Fedheha kubwa kwa dr kashilila

    Ndugu yangu hata kwenye shule nyingi kufikia watoto kukaa chini kulianza na dawati kulegea hadi linavunjika linaangaliwa na mratibu elimu au mwalimu mkuu akiangalia hadi linadondoka pamoja na kwamba kuna shule au watoto ambao hawajawahi kuonja raha ya dawati, ninachotaka kueleza matatizo huwekwa...
  13. B

    Fedheha kubwa kwa dr kashilila

    Ndugu watanzania wenzangu kwa muda wa wiki takribani mbili nimekuwa nikisikia bungeni kuwa kuna meza imevunjika inayokaliwa na mheshimiwa mmoja, sitaki kupingana na meza kuvunjika kwani uwezekano wa meza kuvunjika au kiti hata kabati ni mkubwa kwani ni vitu visivyo vya kudumu na ndiyo maana...
  14. B

    Sitta pengo lako halizibiki lakini unaweza kushauri

    Nimekuwa nikifuatilia sana mjadala wa kikao cha bunge kinachoendelea hivi sasa bungeni kwa kweli inatia huzuni kubwa kwa spika,naibu spika mwenyekiti Jenista muhagama na bwana mabumba kweli nyote ni janga kwa taifa na msipoangalia mnakaribisha vurugu na nyinyi ndiyo chanzo cha kelele bungeni...
  15. B

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    Hakuna jambo baya sana kama uongo hii ndiyo mheshimiwa wassira alisema CCM ni chama cha kusema kweli uongo huzusha hofu nahata tafrani mda mfupi uliopita leo majira ya saa 3:10 asubuhi hii mtoto wa mjomba wangu kanipigia simu kuwa amemuona baba yake kwenye picha hii ya mkutano wa michuzi wakati...
Back
Top Bottom