Baraka Obama atuma wanajeshi 4000 AM-Ebola

Baraka Obama atuma wanajeshi 4000 AM-Ebola

hivi wamarekani ndo waisrael au waisrael ndo wamarekani?
 
Unataka kuninyima nini...lol:A S wink:

Nataka kukunyima uji tu,nasikia umezaliwa enzi za Yesu,ni ajabu mpaka leo wajua tumia smartfon,na una hoja kali balaaa,mi mpaka nikuijie na id zangu zote labda ntakuwezapooo
 
Huo ni mpango wa Africa Command(Africom) ku position assets ku counter Chinese influence maeneo hayo

Marekani anatumia strategy ya containment.Ni strategy ambayo unambana adui yako katika aspects nyeti kama nishati,eneo la kijiografia etc

Tukio kama hili linafanyika Southeast Asia ambapo America anjenga kambi mpya za Airforce na Navy.Lengo ni ku disrupt supply lines za China na to some extent Russia

Wakubwa wanajiandaa na WW3
 
Nataka kukunyima uji tu,nasikia umezaliwa enzi za Yesu,ni ajabu mpaka leo wajua tumia smartfon,na una hoja kali balaaa,mi mpaka nikuijie na id zangu zote labda ntakuwezapooo

Te te te...unacheza na bibi bomba weye....😛eep:
 
Kwa kweli nimeanza kuogopa sana...
Ndio maana wameanza kuandika Tz ina chance kubwa ya kupata Ebola...maybe ni next in their plan sababu ya dominance ya China hapa nchini...

Masikini bara langu Afrika...

Huo ni mpango wa Africa Command(Africom) ku position assets ku counter Chinese influence maeneo hayo

Marekani anatumia strategy ya containment.Ni strategy ambayo unambana adui yako katika aspects nyeti kama nishati,eneo la kijiografia etc

Tukio kama hili linafanyika Southeast Asia ambapo America anjenga kambi mpya za Airforce na Navy.Lengo ni ku disrupt supply lines za China na to some extent Russia

Wakubwa wanajiandaa na WW3
 
Kwa kweli nimeanza kuogopa sana...
Ndio maana wameanza kuandika Tz ina chance kubwa ya kupata Ebola...maybe ni next in their plan sababu ya dominance ya China hapa nchini...

Masikini bara langu Afrika...

Mkuu kuhusu kusini mwa Afrika usiwe na wasi.SADC ilikubaliana kuwa hakutokuwa na foreign bases za nchi yeyote ndani ya member states.Ondoa shaka.SADC imesimama imara
 
Mkuu kuhusu kusini mwa Afrika usiwe na wasi.SADC ilikubaliana kuwa hakutokuwa na foreign bases za nchi yeyote ndani ya member states.Ondoa shaka.SADC imesimama imara

Thank you God...hakika SADc vichwa...ila hawawezi kutudungua toka huko west?
US military base ni majanga...hata Japan ambao ni washirika wa karibu wanakomaje kuwa host wanajeshi wa marekani...ni full ubakaji ....
 
Mkuu "The West" wana exploit sehemu isiyokuwa na umoja tu.Kwa Libya walianza kuichokonoa Benghazi kwasababu ilishawahi kutaka kujitenga na serikali ya Tripoli miaka ya 80.Kwa Syria wana exploit Sunni Shia hatred.China ni Eastern muslim provinces zake pamoja na Hongkong.Russia ni maeneo ya Caucasus

Underlying principle ni divide and conquer.Hata kama West wanachukia vipi hawawezi kutudhuru kama tuna umoja.Umoja na mshikamano ni kitu muhimu sana kwa nchi zetu changa

Japan na Germany basically ni colonies za US.Inasiktisha
 
A doctor who was supervising the administration of the vaccination after "religion" service; ...via her/his facial expression I noteced that she/he was trouble with process. Through that hint ,I escaped the the vaccination dose....

Be careful with some religion services...
 
Hapana chezeyaaaaaaa

It seems you and your collegue are struggling much to take away nyumba kubwa from the proper direction of the the topic on the round table. Why ? please do not force me to put you in that list....!
 
.....s

Underlying principle ni divide and conquer.Hata kama West wanachukia vipi hawawezi kutudhuru kama tuna umoja.Umoja na mshikamano ni kitu muhimu sana kwa nchi zetu changa

Japan na Germany basically ni colonies za US.Inasiktisha

The integration of US entities into our system is at highest level at the moment....we need to be more smarter than them otherwise we are in trouble.
 
Nigeria ni nchi pekee iliyoweza kutokomeza kabisa janga hili la ebola. Lakini mbona wao sijasikia wametokomeza kwa kutumia hao wanajeshi? Km kweli nia ni kutokomeza ugonjwa kwanini wasiwasaidie AM kwa njia alizotumia Nigeria ?

Njia gani hizo walizotumia nigeria? Tambua watu uhitaji msaada kwa saula linalowazidi, na nigeria hili janga lingewafika shingoni wanajeshi wangeenda tu, mbona kwenye suala la utekaji watoto wanajeshi waliingia nigeria?! Kwa nini wasingetumwa wanadiplomasia
 
Na mimi nasema SIKUBALIANI NA MANENO ACHILIA MBALI MAWAZO YAKO!!! Kilichoifanya Marekani na washirika wake kupeleka jeshi huko ni mali hasa dhahabu na mafuta!! unaposema madaktari hawatakubali unamaanisha nini? unajua Cuba ma DR wangapi wamepelekwa AM? hili swala la kupeleka majeshi ma sio ma-DR kupambana kamwe haina logic yoyote!!

Hao madaktari unawaomba ama unawaamulu? Hilo la kwamba wanafuata mali siwezi kujibu make ni hisia zako tu na siwezi kukufundisha kuhisi, nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali sijaona nchi ambayo imetuma wanajeshi kuchukua mali bali naona kuna nchi zimetuma wanajeshi kupambana ebola
 
Umesoma wapi hio? Maana hata Marekani wenyewe hawajasema hivyo. Sasa ndugu, wewe hio umetoa wapi au umefikiria mwenyewe?

https://www.jamiiforums.com/international-forum/742654-truth-about-ebola-5.html#post10949553

Most of the US effort, which will draw heavily on its military medical corps, will be concentrated in impoverished Liberia -- the worst hit nation -- with plans to build 17 Ebola treatment centres with 100 beds in each.
Unaposema us hawajasema ivyo uwe na uhakika
 
Hao madaktari unawaomba ama unawaamulu? Hilo la kwamba wanafuata mali siwezi kujibu make ni hisia zako tu na siwezi kukufundisha kuhisi, nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali sijaona nchi ambayo imetuma wanajeshi kuchukua mali bali naona kuna nchi zimetuma wanajeshi kupambana ebola
Na wewe unaamini WANAJESHI WANAPAMBANA NA EBOLA?:angry:
 
Back
Top Bottom