Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

Fojari ndiyo mtindo wa serikali ya CCM na chama hicho. Hatuwezi kuimili ushindani wa maisha ya sasa katika dunia hii kwa mtindo huu. Pengine ndiyo maana kuna umuhimu wa watanzania kuing'oa CCM 2015 ili tuanze maisha mapya na CDM, chama kitakachotuwezesha kushindana katika maisha ya sasa!
 
Nikiangalia picha kwa kweli sioni uchakachuaji wowote nadhani hii ni paranoia sasa, kumpakaza Michuzi bila sababu sio sawa.
 
kwa jinsi nilivyotazama hizo picha,nimegundua kuwa zilikuwa za kampeni za urais mwaka 2010. Huyo Michuzi kahadaa watu katika blog yake uchwara. Bila shaka anafukuzia ukuu wa wilaya,maana kwa kazi kama hiyo ya kuhadaa watu kwa picha si bure
Na wengine washakufa hapo!lol
 
You dont need to be graphic designer kuona usanii uliofanywa hapa. Picha ya kwanza ukiangalia kwa makini utaona kuna makundi mawili. Kundi la nyuma kabisa watu wanangalia 'direction nyingine' na kundi hili la pili. Au walikuwa na majukwaa mawili?

Lakini pia, colour/mpauko wake ni toafuti. Kule nyuma kunaonekana watu wako kwenye jua kali zaidi ya hawa wa mbele. Yote hii ya nini? Unamdanganya nani?

Hakuna jambo baya sana kama uongo hii ndiyo mheshimiwa wassira alisema CCM ni chama cha kusema kweli uongo huzusha hofu nahata tafrani mda mfupi uliopita leo majira ya saa 3:10 asubuhi hii mtoto wa mjomba wangu kanipigia simu kuwa amemuona baba yake kwenye picha hii ya mkutano wa michuzi wakati baba yake alifariki mwaka jan April ambaye alikuwa ni mshabiki wa CCM hofu imetanda ndani ya familiakwa ajili ya Bwana michuzi, Mimi namuheshimu sana bwana Issa michuzi lakini uongo wako na njaaana kutumiwa kutakuvunjia heshima mbele ya jamii na utaonekana hovyo kuliko yeyote sasa unatupa kazi ya ziada kama familia kwenda kuelezea uongo na uchakachuaji wako katika familia ambyo ipo katika majonzi ya kuoteza mpendwa wao,ndugu yangu Njaa inaisha aibu haiishi jaribu kuishi kama mwanaume.
 
Sasa wewe nawe umeenda mbali ulikuwa unataka akuoe wewe.Shule uliyoenda wewe imekusaidia nini mbona umekalia majungu.Kosoa picha sio unaingilia maisha ya watu.
Kiukweli hiyo blog siiangaliagi, ogopa mwanaume kila kukicha anaoa tu. Shule yenyewe hana alafu anajitutumua
 
Wengi wawapiga kura hawaingii michuzi,wachache wao waliona kwenye luninga live, wengine wengi wako field wakirudisha kadi za magamba na wakijiunga kwa kasi na chama cha ukombozi na ushindi 2015
 
Nasikitika sanaa sana kwa uelewa ulivyo finyu wa watz wenzangu,hii kwa kweli ni tatizo sana nashindwa kujua serikali inanye nini ili kuweza kufanya IQ ya watz kukua,mtu anashindwa ktofautisha tu picha iliyochukuliwa karibu,iliyochukuliwa mbali na iliyochukuliwa kwenye direction tofauti.
Hii kwa kweli ni tatizo,chadema hatukikatai ila bado hakijaiva kuongoza serikali chama kina kama watu watatu wenye akili ukimtoa slaa ameshachoka,kuna atleast mnyika,prof baregu na Dr.safari.jaman mbowe unaweza kumpa hata wizara kweli?
Naomba tubadilike hasa kwa kukuza IQ thats why jaribu kucheki hata hapa nchin CEO wa kampuni ya kigen,wa TZ ni wangapi na foreigner ni wangapi?au hili nalo ni tatizo la ccm? we cannot compete and deliver kazi ni majungu na kuiba.
Tunataka kuwa matajiri kwa kutumia ofisi in two years,hebu tubadilike na tuwe na uwezo wa kuchanganua mambo kisawasawa,CCM imeguarantee piece and everything is there kila sehemu ni opportunity bado tunalaumu,hebu nenden kenya muone,kila kitu hadi ardhi inamilikiwa na matajiri tu,jaman tubadilike tufanye kazi kwa bidiii tuache majungu na uchochezi.

Ndugu, ulisoma habari yako hii kabla hujaipost? Halafu unazungumzia IQ, nahofu kama unajua maana halisi ya IQ. Unakuazaje IQ? Well, naamini wewe ni mmoja wa waliosoma shule za kata, and hiyo ni sera ya ccm kuwafanya muendelee kuwa wajinga. Nadhani mchakato wa kupembua pumba na mchele unaendelea kwa kasi ya ajabu, nionavyo mimi ccm itabaki na pumba, na CDM itachukua cream yote, read my lips. BTW KATI YA WALIORUDISHA KADI ZA CDM NI WANGAPI NI OIL CHAFU

Nikirejea kwenye mada, sidhani kama ujaaji wa watu kwenye mikutano ya siasa ni kipimo pekee cha kukubalika kwa chama cha siasa.Mara nyingi watu wanakwenda kusikiliza sera. Utakumbuka mkutano wa cdm uliwekewa mizengwe na polisi, na hilo lilitisha watu. But CCM hakikupata hilo, besides, kama walioletwa kuongea ndio cream, clean ya CCM, then Taifa letu lina safari ndefu ya kufikia maendeleo ya kweli chini ya ccm
 
Red Giant unasema wanajirudia haya sawa. Sasa leteni ambazo hazijirudii yaani za kweli ambazo hazijachakachuliwa ili tyone na ku compare. Au leo picha hazikupigwa?
Kimbunga Hizi hapa watu wamekaa kwenye vitu

599783_456476384364445_668565949_n.jpg



560653_456476854364398_463755207_n.jpg




601006_456476334364450_629416451_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
CDM_square.jpg
Picha halisi, acha hizo za kuchakuchua!! Ni aibu wakuu kwa chama tawala, tena kwa kutumia nguvu kuubwa
 
Back
Top Bottom