Habari za muda huu,
Kwa taarifa niliyoipata ni kua serikali imeanza kupokea maombi ya wafanyabiashara wanaotaka fremu za stemdi mpya ya mabasi Mbezi Luis. Je kuna mtu yoyote anaejua hayo maombi yanapelekwa wapi? Na kwa njia ipi?
Naomba kuuliza malipo inakuaje? Unamlipa kinyozi mwisho wa mwezi au anakuletea hesabu ya siku? Na akikuletea hesabu ya siku je unalipia ww umeme au umeme analipia yeye?
Kabla ya klopp ulikua unashabikia liverpool?
Mana after benitez hapa kati looks nothing compared to now. Tunagombania kuingia top4 na tunashindwa kila msimu alaf chini ya klopp liverpool ipo kwnye title race af unasema unamaumivu? Maumivu unayajua ww?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ambae hajui mkasa huu upo hivi:
Team inayoshiriki ligi kuu ya uingereza cardiff city ilikubaliana transfer ya mchezaji wa nantes ya ufaransa Emiliano Sala. Mazungumzo yote yalikamilika mpaka kufikia cardiff kutangaza usajili wa mchezaji huyo rasmi kabisa.
Siku mchezaji anayotoka ufaransa...
"He will be out of pace early"
Milner uyo? Ivi humuonagi anavyokimbia pale kati kma mwendawazimu au? Yule babu anapiga kazi na ataweza kukava the RB position bila utata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Clyne ni bang average player. Ni fullback wa kizamani unaweza kusema hivo. Hana msaada wowote going foward. Ukiangalia msimu aliocheza almost mechi zote ali offer not more than 5 assist msimu mzima. Na kwa mpira wa asaivi fullback wa hivo haitajiki.
Fabinho natural position yake ilikua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.