Upatikanaji wa fremu za stendi mpya ya Mbezi Luis

burhan6196

Member
Aug 23, 2018
65
84
Habari za muda huu,

Kwa taarifa niliyoipata ni kua serikali imeanza kupokea maombi ya wafanyabiashara wanaotaka fremu za stemdi mpya ya mabasi Mbezi Luis. Je kuna mtu yoyote anaejua hayo maombi yanapelekwa wapi? Na kwa njia ipi?
 
Soma maelekezo hapo
IMG-20201106-WA0000.jpg
 
Habari za muda huu,
Kwa taarifa niliyoipata ni kua serikali imeanza kupokea maombi ya wafanyabiashara wanaotaka fremu za stemdi mpya ya mabasi mbezi luis. Je kuna mtu yoyote anaejua hayo maombi yanapelekwa wapi? Na kwa njia ipi?
Hayo maombi unajaza kwa njia ya mtandao... nakuwekea hapa link ila sasa biashara ndogo kabisa CHIFU kodi yake kwa mwezi ni 1M

 
Maombi tayari, je kuna aliyefanikiwa kupata? Au majina ya waliopata kutolewa popote?
 
Back
Top Bottom