Ah kitambo nlishajisajili ila ni moja kati ya jobsite mbovu kuziona wasumbufu kuanzia kujisajiri hadi kuomba Ajira yeñyewe na hupati Ajira yenyewe piuy
Bro kama unajikubali piga kazi achana na haya mambo ya sijui kuajiriwa hiyo elimu uliyonayo itumie kuzalisha kipato binafsi hapa naamanisha km unafanya biashara ya kujikimu kukosa siku kadhaa in loss kubwa na hata tuseme ukiajiliwa utamisi maisha ya kuwa boss mwenyewe hakuna bugudha ushauri...
unapouliza viongoz wako wapi unamaanisha nn kwan kiongoz gan unamuhitaj , unaacha kuwasaidia watu unataka viongozi kweli tanzania hatuweza kuendelea kila kitu viongoz hata hili la kuwasaidia wenzetu walionaswa? lawama zingine tuangalie jaman tusikurupuke km tunaamka usingizin
Yaan ktk watu wasio na akili timamu huyo si ludenga sijui nan hana kabisa aendelee kufanya mambo yake, samahani ya nini kwani ameswikia watu wanataka samahani yake? Alafu lazma ajue kuwa wa2 sio mambumbu kiasi hicho.
sasa ngoja niwaambie wewe na wenzako wenye mawazo mgando km yako kuwa mbumbumbu sio tatizo, tatizo ni kuutumia umbumbumbu wako km wewe hapo usiojua kinachoendelea ila kukoment utumbo, km kitu huna ufaham nacho jiegeshe pemben
mbona unaonekana mtu mzima lkn unachotapika hatukuelewi aliekuambia IMANI ya mtu ushabiki nani km mambo huyajui kaa pembeni nayo mbona mnapenda sana chokochoko nyie msie na IMANI?
Eti VODACOM wanatoa msada wa pole kwa wazanzibar wakati, Tukio linatokea wao ndo walikuwa wanasherehekea kumsimika miss mpya. Wazanzibar msijaribu kuchukua izo pesa hata wakiomba msamaha hawana haya wala huruma, ningependekeza watanzania kwa umoja wetu tuunde mbinu ya kuhakikisha hatutumii...
ah aise miss Tanzania. kusema kweli mi nataka nizungumzie mavaz yan ni uzalilishaj wa hali juu. wantanzania mulete mabadiliko chanya sio has munatumalizia nguvu za kiume banaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.