Jt jr
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 181
- 57
Wanajamvi naona utumishi wametoa majina ya usaili kwa tar 26.
Mmimi niko mwanza nahangaika na ujasiliamali wa kujipatia riziki ya kila siku. na mwezi huu nadaiwa kodi ya kibanda changu cha biashara. mwezi ujao natakiwa nilipie chumba changu cha kuishi jumla nadaiwa 600000 ndani ya hii miezi miwili. nawaza sana kuacha shughuli zangu na kwenda kwenye hiyo bahati na sibu ya ajira kwa kutumia nauli kubwa ya kwenda na kurudi kwa nafasi 2.
Jamani mnanishaurije ndugu zangu