Recent content by bummy

  1. B

    Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

    Jaman nyie mnaangalia wapi mbona vimbau mbau vipo vya kumwaga
  2. B

    Chakii amefiwa na dada yake

    Pole sana Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe....
  3. B

    Nahitaji mwanamke jamani

    Miaka 25 kwa mwanamke bado sana.
  4. B

    Hakika mapenzi ni darasa tosha, nahitaji ushauri wako!!

    Ndio ufikiri kabla ya kutenda la sivyo utajutia uamuzi...
  5. B

    Hakika mapenzi ni darasa tosha, nahitaji ushauri wako!!

    Napata mashaka hapa! yaani huyo bibie amakwambia kila mwanaume anayemtongoza!? Hivi inawezekana vipi usiijue no. ya mtu anaekusumbua na unasema hupokei cm zake sa unajuaje kama ni yeye na hujui no. hili laweza kuwa changa la macho!!! Halafu na ww unaanzaje kunyanyua simu na kumpigia mtu humjui...
  6. B

    Naomba ushauri kunirejeshea hamu ya kuishi

    Hivi umeumbwaje!? kwanin unakua mkatili kiasi hicho!? mtu yuko serious anaomba ushaur unamwambia mambo ya ajabu.... Jaribu kutumia busara na kama hujaguswa sio lazima kumshauri
  7. B

    Namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipatia sehemu ya kujishikiza

    Hongera sana .. Ila uendelee kutukumbuka katika maombi yako ili na sisi tuweze kujishikiza kama sio kupata kabisa mana tumechoka kuosha vyombo na kudeki kila siku... All the best mungu awe pamoja nawe
  8. B

    Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

    Pole sana kaka angu amini hiyo ni mitihani tu. Napenda kukuambia kama kweli mnapendana lazima atarudi tu kwani mapenz ni kitu cha ajabu kama ana true love lazima anaumia ila anatafuta jinsi ya kukufuata... kwani sion sababu kubwa ya kuwatenganisha hiyo ilikua ajali kama ajali zingine! Ila kama...
  9. B

    Unaamka: Umenuna, unaoga umenuna(HASIRA)

    Ili kuepukana na tatizo hili ni lazima tuwajue vizuri wenzi wetu na kuwaelewa.. naamini ukifanya hivi haitakusumbua!! Pili tujitahidi kujizuia hasira zetu! Kwanini umalize siku mbili au tatu hata mwezi umemnunia mpenzi wako ukiona hivyo sio chaguo lako. Hatukatai makwazo yapo lakini usiku ni...
  10. B

    Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Mhhh! jaman kabila lina uhusiano gan na tabia ya mtu!? Isitoshe siku hizi watu wanaoana makabila tofauti tofauti kwahiyo wanazaliwa watu tofauti na makabila yao.... Msituponde sana wanyakyusa jamani tabia anabeba mtu sio kabila , shepu na sura ni majaaliwa ya mungu sio kabila
  11. B

    Wanyakyusa hawawezi kutamka herufi "L"?

    Mhhh! hakuna ukweli wanyakyusa hatuna r kabisa. Hao wanapamba tu sisi kwenye r tunaweka l na kweny l inabaki l
  12. B

    Kama wewe unadhani ni msichana boraumepata mume wa ndoto yako!

    Kama hujapata nicheki nahisi ni msichana bora kwako
  13. B

    Ulimtafuta kwa siku nyingi leo hii yupo hapa anakuita njoo!

    Umenivutia sana.... kama hujapata nipo hapa!!!
  14. B

    Natafuta mchumba wa kike for marriage

    Hapo kwenye rangi ndio shida!!!
Back
Top Bottom