Naomba ushauri kunirejeshea hamu ya kuishi

Naomba ushauri kunirejeshea hamu ya kuishi

Achana na habar za mabwana kwahyo m nkuite qe shoga unaetafta mabwana kwa nguvu humi ndan??

Mbona Barida Tu Niite Vyovyote Utakavyopenda au Utakavyoweza. Nina USUGU Wa Kutukanwa Na Kushambuliwa Na Wehu Kama Wewe................ Kantangaze!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona Barida Tu Niite Vyovyote Utakavyopenda au Utakavyoweza. Nina USUGU Wa Kutukanwa Na Kushambuliwa Na Wehu Kama Wewe................ Kantangaze!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nkutangaze upate umaarufu kuptia mm!!!!!
 
Nkutangaze upate umaarufu kuptia mm!!!!!

Oya Kantangaze Nimeanzisha Uzi Mwingine Utafute Kwani NIMEKUTUNUKU Wewe Katika Wale Ambao Nikibahatika Tu Kuonana Nao Physically Basi Nitakata Na Kufunua Kwa Kipondo............:smile-big:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ha ha ha ah ha ha habhaaa.presha za JF ztakuondoa dunian mapema.take t easy bwoy.umepanic bro ha ha ha ha ha ha ha haaaaa
 
Oya Kantangaze Nimeanzisha Uzi Mwingine Utafute Kwani NIMEKUTUNUKU Wewe Katika Wale Ambao Nikibahatika Tu Kuonana Nao Physically Basi Nitakata Na Kufunua Kwa Kipondo............:smile-big:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbna siuon huo uz wako.nambie prefix yake niu search. ..
 
Tafuta Dawa Ya Kuulia Panya Kisha Ichanganye Na Kloroquine Na Ichujie Na Mwarobaini NA HAPO UTAPATA KHERI, FURAHA na MIAKA MINGI YA KUENDELEA Kuishi Hapa Duniani. Huo MSETO Wa Hizo Dawa au Kemikali Zitakusaidia Mno Na Ukishazitumia Utanisalimia Akina Kanumba Na Mangwea Huko Utakapokutana Nao.😛oa😛oa

jaribu kuwa na busara na majibu yako mkuu, mwenzako anapopatwa na jambo gumu kama hilo ina maana anahitaji msaada wa karibu sasa wewe unaweka utani hebu jaribu kuwa mkubwa, sio kila jambo la kutania ina maana wewe haujawahi kupatwa na magumu na jua hii ni dunia usipopatwa na gumu leo kesho litakupata tuu
 
Jamani Basi Nimeshawaelewa Na Labda Nimwombe Radhi Muanzisha Uzi Huu Na Kwa Wadau Niliowakwaza Kwa ILE Post Yangu ila Nilitaka Tu Kumchangamsha Kwani Hata Mimi Nijuavyo Ni Kwamba Hakuna Asiye Na Matatizo ISIPOKUWA Yanazidiana Tu. Natumai Sasa Mtanisamehe Na Tusonge Mbele.
 
usijali mkuu yameshaisha kikubwa umetambua kosa na hakuna ambae hakosi tusamehe na sisi kama tumekusema vbaya
 
USHAURI WANGU KWA GRADUATES WOTE NI KWAMBA, mtu from no where asikurubuni akakwambia umpe ama nakala ya vyeti vyako ili akusaidie kutafuta ajira ata kama ni mdogo wa baba yako. wengine ni losers wemeshindwa handling their own lives wanajiingiza kwenye utapeli. mimi kuna mmoja nimemshtukia alitaka kuniingiza mkenge na huwa anajifanya anabusara sana kumbe f***king tu!!!
 
Tafuta Dawa Ya Kuulia Panya Kisha Ichanganye Na Kloroquine Na Ichujie Na Mwarobaini NA HAPO UTAPATA KHERI, FURAHA na MIAKA MINGI YA KUENDELEA Kuishi Hapa Duniani. Huo MSETO Wa Hizo Dawa au Kemikali Zitakusaidia Mno Na Ukishazitumia Utanisalimia Akina Kanumba Na Mangwea Huko Utakapokutana Nao.😛oa😛oa

Hivi umeumbwaje!? kwanin unakua mkatili kiasi hicho!? mtu yuko serious anaomba ushaur unamwambia mambo ya ajabu.... Jaribu kutumia busara na kama hujaguswa sio lazima kumshauri
 
Habar Wana JF

Ndugu zangu niko hapa kuomba ushauri utaonipa mwanga wa maisha yangu. Baada ya kuhangaika hatimaye nilibahatika kuajiriwa mamlaka ya bandari.

Nilipata barua yangu ya ajira na kuanza kazi mtwara. Ikapita miezi minne bila kuanza kupata mshahara huku nilioanza nao wakianza kupata. ktk kufuatilia kwangu nikafika hazina ambako janga limenikuta.

Nikaelezwa cheti changu cha frm 4 kimetumika na mtu kaajiriwa yupo ktk system hivyo wao wametuma barua mamlaka husika kusitisha ajira yangu.

Ndugu zangu sijawahi kutoa cheti changu kumpa mtu yeyte na wala huyo simfaham.

Historia yangu nimehitim frm4 2005, Advance 2008, Bachelor UDsm 2011, diploma ya sheria chuo cha uongozi wa mahakama lushoto 2013.

Nikafanya usaili mara 6, ya saba nikapata kazi, leo ndugu zangu naambiwa hivi?

Vyet vyote ninavyo, sina ndugu kusema alitumia, wala sijakitoa kwa yeyote.

Hiv ni kweli ajira nakosa?

Ina maana elimu yangu yote ni bure?

Naomba ushauri nipate hamu ya kuishi.

Pole sana kwa yaliyokukuta LAKINI fanya hv tafuta siku moja ufanye ziara maeneo yafuatayo mahabusu na vituo vya polisi mochwari na ward za hospitali mbalimbali ocean, rd nk, vituo vya watoto yatima, tembelea maskani mbalimbali na vijiwe vya masela mtaani na jioni tembelea vijiwe vya machangu na wana wakeshao ukimaliza nenda kalale ukitafakari uliyoyaona na kuyasikia siku nzima!!!! Utajikuta unamshukuru Mungu
 
Wana bodi sasa mjue huko serikaini na jeshi na polisi na huko usalama ni uozo. Kweli usalama wa Taifa inaajiri mtu mwenye vyeti fake? vetting alipitaje? pole sana kama mdau alivyokushauri hapo juu fuatilia kwa barua. Ukimpata mhusika mfungulie kesi criminal na madai. Wewe unajua sheria hivyo fuatilia. Na idara ya usalama au republic wawe pia watuhumiwa kwa uzembe katika vetting. Dai mamlliob ya pesa.
 
Back
Top Bottom