BUFALO
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 300
- 273
Very simple!
Ngoja nikwambie mwanamke haitaji ulinzi wa misuli ya mwanaume wake ili kutokuwa na mahusiano na mwanaume mwingine!
Nikiwa sitaki sitaki TU!
Nikitaka hata ufanyeje nitakuwa nae TU!
nadhani hufanya kama njia ya kujihami, ukikuta sms aseme ndo yule....