Recent content by Bukya

  1. Bukya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania inaenda kushuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa soon

    Huyo ni independent Candidate mwaka huu!
  2. Bukya

    JamiiForums Tanzania Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

    All Muslim Philosophers have been killed. Hakuna kuhoji hoji, kudadisi dadisi wala ku "philosophize" mambo haya.
  3. Bukya

    JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Zanzibar

    Kufahamisha = Kufundisha
  4. Bukya

    JamiiForums Tanzania Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Ni kweli kabisa. Kuna siku nilikwenda sheli nikanunua diseli ya sh. 50,000. Mwanadada mhudumu akaniambia nakuwekea kwanza ya sh. 10,000. kisha nitakuwekea ya 40,000. Nikateremka kwenye gari kuangalia. Mwisho nilikuwa na risiti mbili moja ya sh.10.000 na nyingine ya 40,000. NIlijiuliza kwa nini...
  5. Bukya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

    Misfortunes never come singly (proverb) = Bad things, event, situations, outcomes, etc., almost always arrive in groups of two or more all at once or in quick succession.
  6. Bukya

    JamiiForums Tanzania Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Ni kweli ngamia maana yake nyingine ni kamba ambayo hufungwa kwenye nanga (Anchor) (Breki ya meli)
  7. Bukya

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kengele (Bell)

    Wasiliana na hawa : Christoph Paccard Bell Foundry 2652 Bonds Avenue, Suite 202 N. Charleston, SC 29405 USA info@christophpaccard.com
  8. Bukya

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa chigugunda au chidumba wa Mtwara ni ugonjwa gani?

    Kuna makundi mawili ya Wamakonde. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Mtwara, Newala na Tandahimba. Hawa asilimia 99 ni Waislamu. Kuna kundi lingine ni Wamakonde wanaotoka Msumbiji hawa asilimia 99 ni Wakristo.
  9. Bukya

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    Maelezo yafuatayo yapo kwenye pasipoti. "Hii ni kuwaomba na kuwasihi, kwa jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote wanaohusika, kwa kusudi la kumruhusu mwenye pasipoti hii kupita bila kizuizi ama kipingamizi chochote na vile vile kumpa msaada na ulinzi wowote ambao utaonekana kuwa...
  10. Bukya

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Words do not cook rice - Chinese Proverb
  11. Bukya

    JamiiForums Tanzania Is it a coincidence?

    Waganga gani? wa hospitali au vilingeni?
  12. Bukya

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

    Siyo kutembea tu hata kuongea. Utakuta mtu anakupigia simu na anaongea kwa mapozi kama wote hamna cha kufanya.
Back
Top Bottom