Yote kumi ni cable. Waulize wakazi Wa Bukoba kama watakuelewa na suala la vingamuzi, Bukoba Cable ina channel 80+ local tv za kumwaga, channel za mpira (soccer) hamna mechi itakayokupita ata ligi za amerika kusini na asia zinapatika. Yote haya no kwa gharama za Tsh 10,000/= kwa mwezi...
Kaka Nape, Kambuka hiyo 74% ya wabunge unayotamba nayo ni ya wapiga kura milioni 8 tu kati ya milioni 20 ya wapiga kura waliojiandikisha. Basi jua hii katiba ni ya watanzania milioni 45! Pia kumbuka hao wapiga kura milioni 12 ambao hawakushiriki zoezi la uchaguzi 2010 ni kutokana na ubovu wa...
Wanajamii, mtakumbuka ni magazeti haya yalioaminisha watanzania wengi na kuiweka serikali ya awamu ya nne madarakani, sasa ni serikali hiyo hiyo inayoyatokomeza gizani magazeti yaliyoiweka madarakani. Nani asiyekumbuka kazi ya magazeti chini ya uratibu wa Salva Rweyemamu yalivyoibeba serikali ya...
Hili suala linamsukumo Wa kisiasa, sidhani kama mayor anausika na ufisadi unaotajwa kwa sababu mayor si mtendaji mkuu Wa manispaa yoyote. Kama kuna ufisadi Wa kuulizwa ni mkurungezi Wa manispaa.
Hili ni suala la watanzania wote, ni upuuzi kuzungumza idadi ya wabunge hapa, wa ccm au upinzani.
Idadi za kura zote walizopata wabunge wote wa ccm haifiki milioni 10! Sasa watu hawa waamue vipi mstakabali wa watanzania milioni 44? Na ccm na serikali yake wanaogopa nini kufuata mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.