Bukobakwetu
Member
- Sep 17, 2013
- 12
- 0
Wadau hii imetokea Uganda, na mpaka sasa hivi sehemu kubwa ya Uganda ni giza, TV stations zote za Uganda zipo live kwenye ili tukio
Zanzibar tunashuhudia kwa vipindi mawingu yanaleta kizazaa.
Nimeona.
Nimeangalia kwa kimiwani changu cha jua. Sijui vp tena wakuu. Nipo salama kweli?
Kwa walioko Kagera ...maeneo ya Kishanje, Bushasha, Kanyigo wanashuhudia... huko Ghana wameona kuanzia saa tisa saa sita saa za huko. Pia waweza kufuatilia kupitia R.T >>>>http://rt.com/on-air/total-solar-eclipse-kenya/
Watu wa Morogoro wameshidwa kufaidi haya baada ya wingu zito la mvua kufunika Jua...
Kwani wewe kukamatana kwa mwezi na jua unavyofikiria wewe huwa wanakamatana kama wanavyokamatana binadamu? kukamatana kwa mwezi na jua ni kukaribia kwenye njia moja kwa muda fulani ndio kunako sababisha dunia kuwani giza mwezi unapita njia moja na jua ndio huko kukamatana kwenyewe upo pamoja na mimi mkuu?Mkuu mbona unachozungumza hakipo kisayansi , hapo hakuna kukamatana Bali mwezi unakuwa katikati ya dunia name Jua na hivyo kusababisha Giza,
Inaonyesha wewe upo Giningi Australia? hakuna huko mwezi kupatwa?
Hahaha kama umeweza kuandika hapa basi utakuwa upo salama mpendwa...
Nahisi huko maeneo ya kwenu mmeona kwa uzuri kabisa...
Uliangalia jinsi ulivyokamatwa?Hongera ni kweli leo jua limezama ktk mwezi au mwezi umeingia ktk jua
Ilikuwa ni experience nzuri shemkwe....
Mmmh kwa hii itayotokea leo ukiwa Tanzania hutaweza kuona kama nilivyoona, kwa East Africa wataoweza kuona hivyo ni some parts za Uganda na Kenya...
Huko ndio watapata 'Total Solar Eclipse' bali sisi tutapata ile 'Partial Solar Eclipse' tu
Kwa hiyo next sunday inayosemwa ni hii ya jana ama the next next,,
Hahaha...shemkwe huku kulikua na mawingu sana...sikuweza kuobserve hata kidogoo