Recent content by bukinda

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

    Mungu nimwema kila wakati Mungu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu amekuwa akinilawiti na kunitishia kwa miaka 20 sasa, nataka kumshitaki Mahakamani

    Kweli hapa JF. Kunamizaha sana. Hadi panakera.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Pole sana. Mungu azidi kukupa ujasiri na huruma ya moyo usiwe na maamuzi mabaya hata mm nitakuombea kwa Mungu usikengeuke. Omba garama za malezi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mil 4 nizitumie kusafiri kwenda Nigeria kwa TB Joshua ili nirudiane na mke wangu Au niitumie kufungua kijiwe?

    Ndugu Tb joshua nibinadamu kama ww tu. Unachezea shilingi chooni.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Sitaogopa yaliyomkuta Tundu Lissu

    Mama Karume mbona hujiamini. Kama hujiamini acha kugombea mbona kila mara Tundu Lissu. Gombea kivyako. Mpaka umtaje huyo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

    Ww bado sana. Unajiuliza nchi imekufanyia nini. Badala ujiulize nchi umeifanyia nn.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wadogo na kaka wa marehemu Akwilina wateta na Asenga DAS Rombo

    Kuna watu huwa wanajibu mambo kanakwamba wao hawatapata matatizo hapa duniani.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachosababisha ugonjwa wa goti na matibabu yake

    Ndugu zile mbegu nisum.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Aida Olomi na mahabusu wanaouguza vidonda vya risasi Polisi Osterbay bila kupelekwa hospitali, Polisi kuweni na utu

    Wewe mama sio mzima. Ulizani kwenye maandamano wanagawaga pipi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kujiua

    Wasiliana na Chris mauki.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kichanga wangu analia sana usiku

    Mwanao anasumbuliwa na gesi. Pamoja na njaa. Hashibi maziwa ya mama yake. Huwa yanaisha mchana. Na akiwa ananyonyesha ile chuchu ya mama yake aibugie yote isiiweke jujuu inaingiza hewa wakati ananyonya. Ndio maana anapata gesi tumboni. Pole sana.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kaka zangu wametembea na mwanamke mmoja

    Wewe dada unamuogopa kaka mwambie
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

    Weka picha yako waweza kuwa gey.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

    Ndugu kumbe unalako jambo. Umemsema kisa haipendi Liverpool.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Madhara ya vyuma kukaza: Nimeingiliwa na wezi nyumbani na kuibiwa vitu vyangu

    Pole sana. Ndugu yalishanikuta mie. Ikabidi ninunue tu Tv ya Chogo.
Back
Top Bottom