Msaada: Anataka kujiua

Msaada: Anataka kujiua

Nothing lasts forever, even love no matter how deep is eroded eventually by love. That's why we move on. To look for new love, new excitement.

Some people dive too deep in love to a point of obsession. They do not know the meaning of moving on. Suicidal thoughts take over. Thinking they cannot live without their significant other.
If nothing lasts forever...will you be my nothing??.

Karucee
 
mwambie kma anatka safari yake iwe nyepesi basi afungue acc FB kisha amtukane bakayoko awezavyo ...
 
Mpeleke serena hotel ,muonyeshe jinsi maisha mazuri yalivyo ,mwache aogelee alafu mwishoni mtombe na mrudi nyumbani.

Hakika atarudi amejua the best is yet to come.
 
kwa kuwa anataka kufa atoke hadharani akemee maovu ya nchi hii
ili hata akipotea ataacha legacy

au amuombe ushauri baba yake mpuuzi huyo
Haki ya nani hii dunia ina majitu ya hatari,, eti nini? Ila wazo lina ka ukweli kwa mbali!! Maana hatamaliza hata saa 1 hajapotea na kesho yake tunamkuta Coco beach!
 
Wakuu salamu,

Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi?

Nb: Sababu kuu ni kuachwa na bwana wake alokaa nae kwa takribani miaka sita sasa tokea olevel huko its a serious issue.
Weka mamba ninaweza kumliwaza please
 
Mpeleke serena hotel ,muonyeshe jinsi maisha mazuri yalivyo ,mwache aogelee alafu mwishoni mtombe na mrudi nyumbani.

Hakika atarudi amejua the best is yet to come.
Hiyo hela ataitoa wapi huyu kapuku? Mwanaume unashindwa majukumu mpaka unakuja kulialia hapa JF? Watu wengine bwana!! Ila vijana wa siku hizi ni dhaifu sana kila eneo sijui kwa nini?
 
Wakuu salamu,

Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi?

Nb: Sababu kuu ni kuachwa na bwana wake alokaa nae kwa takribani miaka sita sasa tokea olevel huko its a serious issue.
Anataka Kujiua kwa kujinyonga kwa Kamba, Kunywa Sumu ya Panya, Vidonge Vingi, Vyupa Vilivyosagwa, Kujirusha Ghorofani, Kujitupa barabarani Mbele ya gari, Kujipiga Risasi au kwa style ipi hasa??

Maana ungefafanua hili ningekua na jibu zuri zaidi Mkuu wangu. Sababu kujiua kwengine hua kuna maumivu zaidi kuliko kwengine, pia kuna kujiua kunakowahisha haraka kuliko kwengine pia.
 
kwa kuwa anataka kufa atoke hadharani akemee maovu ya nchi hii
ili hata akipotea ataacha legacy

au amuombe ushauri baba yake mpuuzi huyo
Hahahahaaaaaa Dah umenifurahisha Sana yani, hili nalo neno, wakifanya Hivi watano mambo yatabadilika huku, kumbe source ni Mapenzi
 
Pole yake sana...

Hawezi kujiua...

Ila mbaya sana, mnaaka miaka 6 kama wapenzi alafu unakuja kumuacha kirahisi rahisi...

Mrudie tu binti wa watu...

Cc: mahondaw
 
Dah Ugali dagaa mtamu bwana asikwambie mtu, Wali kisamvu na maharage, Wali samaki kibua au king fish dah acha mwenye Dunia yake na Mmiliki mkuu wa mbingu na Ardhi aamue kunichukua mwenyewe..
 
Mwambie amtafute yule Dada wa USA na vijana wa CDM wampangie majukumu 26/04/2018 maana yeye ni asset siku hiyo..
 
Wakuu salamu,

Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi?

Nb: Sababu kuu ni kuachwa na bwana wake alokaa nae kwa takribani miaka sita sasa tokea olevel huko its a serious issue.
Mwambie kaburini kuna majoka mengi na makubwa sana. Jaribu kumtisha kwa kila namna unayoweza ili aogope kujiua
 
angekua anataka kujiua kisa kiwanda chake au idea yake ya kiwanda imefeli.. ningemuelewa sana na kujitolea msaada kulipa mtaalamu wa ushauri amsaidie..

ila anajiua kisa dyudyu... muache ajiue tu ili wajinga wapungue kwenye taifa jipya la viwanda
 
Back
Top Bottom