Fatma Karume: Sitaogopa yaliyomkuta Tundu Lissu

Mama anatakiwa kwanza arudishe ardhi aliyopola kwa kanisa Anglican eneo mbweni Unguja kwa kutumia madaraka ya familia yake.
ili ajisafishe na aonekane mtua mtenda haki arudishe eneo hilo. Yeye Fatma amepewa hati ya eneo hilo ili alimiliki mwaka 2009 Wakati Kanisa lipo tangu 1600.

Kilio cha waumin wa Kanisa Anglican Zanzibar hakitakuacha usalama Fatma, vizazi na vizazi wanajua ilo ni eneo lao na kunasiku utalirudisha kwakua hawata acha kuli Lilia eneohilo.
huu ni ufisadi wa kimataifa
 
Wapi waliposema kwamba adui yao ni Serikali!? Huna ushahidi kama huo. Hii ni taasisi huru waache wenyewe waamue mambo yao ni kwa namna waitakayo bila kuingiliwa na yeyote yule awe kwa kutaka kuwapangia sheria za uchaguzi wao bila kujali katiba ya chama chao.

Acha kufikiria mambo yasiyokuwepo na kuandika uongo eti wanafikiria wanashindana na Serikali. Hiyo ni dhana potofu ambayo huwezi kuithibitisha.
Usitufanye watoto na hatujui matumizi ya lugha.
 
Mwanasheria Karume asema haogopi yaliyomkuta Tundu lissu Asema changamoto ni sehemu ya kuongeza ujuzi wa kazi ni baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS)

Hili jimama maadili ya dini yake sifuri kabisa ,linaitia aibu sana familia yake na usasa ,la kupuuzwa sana ,siamini haya ndo malezi ya kina karume,lipo uchi na kupiga picha masaa yote,pumbavu sana hili dada
 
Acha UZWAZWA wako taahira wewe. Nakujulia wapi hadi nitake kukufanya mtoto? Usijikweze na kujibaraguza humu. SIKUFAHAMU ASILANI na ninachoandika humu si kwa nia ya kumfanya yoyote yule mtoto.

Usitufanye watoto na hatujui matumizi ya lugha.
 
Nadhani swali aliloulizwa lililenga shambulizi la lissu na nafasi yake TLS, no one knows exactly why Lissu was ambushed, inaweza kuwa siasa au involvement yake TLS.sababu if you can recall Lissu was detained by police siku kadhaa kabla kuingia kwenye upigaji kura na kama si wanasheria kusimama basi ule uchaguzi ungepita wakati yupo locked up.So the question is who knows the reason behind his being locked up amid TLS presidential election?

wewe naona English ni mgogoro kama raisi wako...find the exact meaning of the word "Ambush".......
 
Hili jimama maadili ya dini yake sifuri kabisa ,linaitia aibu sana familia yake na usasa ,la kupuuzwa sana ,siamini haya ndo malezi ya kina karume,lipo uchi na kupiga picha masaa yote,pumbavu sana hili dada
wanataka only prolific lawyers to head that bar....vipi ulipiga sheria ili ukakabiliane naye ulingoni mkuu ?? acha hasira zakipumbavu ....
 
Wanasheria wengi wa siku hizi sijui akili zao ziko wapi. Unapoamua kuchukua purely confrontational approach against serikali ambayo kwa kila hali itakuzidi muscles usije ukalialia na kulalamika mbele ya safari.

Mngekuwa na akili mnge avoid extremism ambayo itawapelekea kuvuna machache lakini kwa gharama kubwa! Badala yake mngetumia wholistic approach, kuheshimu mamlaka lakini wakati huo huo mna push agenda zenu bila mapigano. Na hivyo kuvuna mengi bila gharama kubwa.

Wewe ni mjinga kabisa. Yaani kama serikali inafanya mambo ya kipuuzi unataka watu waisifu au wabaki kimya. Na kusema huwezi kushindana na serikali siyo kweli. Hizi ni propaganda za serikali kutaka kuwajaza watu ujinga ili waogope kutetea haki zao. Hizi kauli tumesha zizoea, tumeshasikia watu wakisema eti mimi sijaribiwi, mara tumejipanga kuzuia maandamano n.k. Kama kweli serikali haiogopi basi ingenyamaza kimya.
 
Kauli yako inaonyesha level ya uelewa wako. Ongera
 
Inaelekea umesoma lakini hujaelimika mkuu.
Huezi tumia misamiati mizuri hivyo ukajenga hoja nyepesi kiasi hiki.
Ni sawa na kujenga nyumba ya tope na miti na kuezekea msauzi.
Kama wasomi wetu ndo hivi baasi tena
Argument inajibiwa kwa argument. Hujajibu
 
Mwanasheria Karume asema haogopi yaliyomkuta Tundu lissu Asema changamoto ni sehemu ya kuongeza ujuzi wa kazi ni baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS)

Anatafuta kiki ,yeye anauwezo wa kuishi Ulaya na haijui njaa ni kitu gani asitake kutuvuruga bure kwa maslahi yake,ningemuona wa maana angeyasema haya wakati baba yake alipokuwa kashika hatamu
 
Back
Top Bottom