Yaani sana huyu kaka mkubwa ni kama baba wa familia ,Mimi ni kama mama ukizingatia tupo watano mimi ndio mwanamke pekee na ni wapili kwa kifupi majukumu ya familia nimeyabeba mimi na kaka mkubwa.Itakuwa mnaishi serious sana na kaka zako, unashindwa hata kuwatania tania!!! Jifanye Kama unatania tu, ujumbe utawafikia na wataulizana wao, na wataweka kila kitu Sawa.
Yaani hili ndio kubwa ndio naliwaza kuwapoteza kaka zangu asante mamyPole sana ebu jaribu kumwambia mama ili awaite awaambie au aongee na huyo kaka wa dar kwanza huyo mdada ni mke wa mtu halaf mumewe ni mganga usije ukawapoteza kaka zako
Nikuambie kitu dada cha muhimu muite kaka yako sehemu ya siri mwambie ukweli kwa heshima na adabu bila kumchora kwa watu hata mama yako usimwambie atakuelewa maana ataona umemuheshimu sanaInategemea unaposema kaka usidhan ni Kijana kwa kifupi ni mtu mzima mtoto wake wa kwanza Yupo chuo mwaka wa pili
Hata kama ana mavuzi ya chuma unampa makavu tu utu uzima wake uko wapi sasa kwa hayo unayoeleza kuwa anayafanya vinginevyo kausha tu lisikupe tabuInategemea unaposema kaka usidhan ni Kijana kwa kifupi ni mtu mzima mtoto wake wa kwanza Yupo chuo mwaka wa pili
Ni kweli unadhani mumewe akigundua watoto wa mwenye nyumba wanatembea na mkewe ataamua maamuzi gani!!Dah aisee sasa wewe kinachokuuma nn hasa maana sio kama wanashea mapenzi bali wameshare zinaa wewe hapo unavyoona kuna mapenz? kausha2 maana nadhani wanafaham kama mke wamtu nisumu, na kuhusu huyo mwanamke kama kawaka wee unajuaje kama kaka zako wote wazima yawezekana hao kaka zako ndio wakamuua huyo mwanamke