Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,530
2,000
Hilo ni swali fikirishi, naomba uorodheshe kikubwa tulichofikia hadi leo ukilinganisha na utawala uliopita!

Kama ni Bara Bara, zilikuwepo na zilikuwa zinaendelea kujengwa!

Watumishi wa umma vilio vilikuwepo vya mishahara midogo japo wakilinganisha na sasa, wanaona bora zaman (hawa kila siku wao ni kulia tu ila kwa sasa wamezidishiwa stress)

Hayo ni yangu machache, nisaidieni kuleta mapya mazuri yakujenga Tanzania mpya yaliyoanzishwa awamu hii
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,218
2,000
SGR...Inajengwa
Barabara zinakamilika
Vivuko vinaundwa
Madaraja mfano Kilombero yamekamilika
Fly over zinakamilika
Mabasi ya mwendo kasi yanaongezwa
Ajali barabarani zinapungua
TTCL Inafufuka
ATCL inasimama
......HIYO NI SEKTA YA KWANZA...NIENDELEE?
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,218
2,000
SGR...Inajengwa
Barabara zinakamilika
Vivuko vinaundwa
Madaraja mfano Kilombero yamekamilika
Fly over zinakamilika
Mabasi ya mwendo kasi yanaongezwa
Ajali barabarani zinapungua
TTCL Inafufuka
ATCL inasimama
......HIYO NI SEKTA YA KWANZA...NIENDELEE?
 

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,530
2,000
SGR...Inajengwa
Barabara zinakamilika
Vivuko vinaundwa
Madaraja mfano Kilombero yamekamilika
Fly over zinakamilika
Mabasi ya mwendo kasi yanaongezwa
Ajali barabarani zinapungua
TTCL Inafufuka
ATCL inasimama
......HIYO NI SEKTA YA KWANZA...NIENDELEE?
Endelea tu chief, lakini hiyo yote kwani haikuwa kwenye plan?!
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,218
2,000
KILIMO:
Pembejeo zinawafikia wakulima kwa wakati
Korosho imeimarika haswa
Mahindi ya kutosha hadi wale waliotaka tutangaze njaa wanaona soni
Pamba wamepata soko la MsD
Madalali wa kununua chakula shambani wanepigwa pini
Ushuru wa kipuuzi umefutwa ..
Mifugo yetu inaendelea kutambuliwa
Vifaranga vya Magonjwa kutoka nje vinateketezwa
Migogoro ya wakulima na wafugaji imepungua
Kiwanda cha matrekta Kimezinduliwa
NMC imerudishwa serikalini

.....NAULIZA NIENDELEE?
 

The Hebrew

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
262
250
Nimejaribu kupitia comments, sioni Viwanda. Kunani viwanda maana ilikua sera kubwa sana kwenye uchaguzi uliopita, uchumi wa viwanda.

Nilitegemea watu kuongea zaidi wakijikita kwenye vipaumbele vya Chama cha mapinduzi maana sera zake ndio zaongiza nchi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom