Recent content by buhoro ksl

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Mwananchi inafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa?

    We mbumbumbu hujui kama Yanga sc ndio wenyenchi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

    Ngada fc kila kitu mpaka mkopi kwa Yanga sc
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Umemaliza kiongozi wangu Topic closed
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Mzize ni bora kuliko kibu denga
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

    Huu ujumbe umejaa maumivu na hisia kali sana kuhusu future ya taifa hili, watanzania tunateseka kupita kiasi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Nabi anastahili pongezi

    Hahahahah nimechekaa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

    mkuu mshana jr waeleze makolo wenzako uliona wapi mpira utakaotumika kwenye mchezo ukiwa umechafuliwa vile, hii ni mara ya kwanza inatokea tanzania
  9. B

    JamiiForums Tanzania Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

    Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0. Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira...
  10. B

    JamiiForums Tanzania " Wananiita Mpinga Kristo"

    wewe sio mkiristo wa kweli,bali ni mkiristo mchoyo usiependa wengine waokolewe
  11. B

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    movie kali za mwamba the rock
Back
Top Bottom