- Thread starter
- #21
Hawa wengi ni members wa freemason ulipwa kule madhabauni kwao Posta,kule wanasoma bible pia kuipotosha lakini.Hivi nani anawalipa? Kama sh ngapi hivi?
Hawa wengi ni members wa freemason ulipwa kule madhabauni kwao Posta,kule wanasoma bible pia kuipotosha lakini.Hivi nani anawalipa? Kama sh ngapi hivi?
Fatwa ina maana gani ?HUYU NI WA KUWEKEWA FWATWA
Yapo yanayofata mafundisho ya Biblia kuanzia mavazi, utoaji,nkHapana kwa kweli
Si kweli Mwafrika angefata dini KWA usahihi asingekuwa masikini.Waafrika sehemu wanayo ikazania na kufanya vizuri ni kwenye Dini tu...
Elimu, Afya , miundombinu, siasa, michezo, uongozi na utawala bora ni Sifuri.....
Dini ni utumwa kwa waafrika wengi..
Heheee wamefika huku? Anguko lao haliko mbali.. Save this postPana wachungaji wasio na uelewa wowote kuhusu maandiko, KWA makusudi wao wameamua kuyapotosha kimakusudi wakitumika yule Muovu. Hawa huduma yao ipo ukonga stakishari wanajiita Grace club, ndio watengenezaji wa bidhaa za Grace sabuni, mafuta, nk.
Wao wanafundisha ya kuwa.
1.Amri kumi za MUNGU ni ushenzi, upotofu, ujinga kuzifuata.
2.Watu wanywe pombe makanisani.
3.Watu wavaae watakavyo kanisa hata uchi SAwa, kama ni mapaja mbona wanakula ya kuku.
Mungu uangalia moyo
4.Hakuna unyakuo
5.Kutoa sadaka, zaka ni wizi
6.
Mafundisho yao mengi ni potoshi

Watoto hawana hatiaHuenda pana ukweli amri za Mungu. Katoto kadogo huwezi kukawekea amri ni kukaongoza tu. Sisi ni vitoto vya Mungu na hatujui kitu, atatuwekeaje amri? Hiyo ni michongo tu ya binadamu kama walivyoweka kutoa sehemu ya kumi ili kushibisha matumbo ya wajanja. Hamnipati ng'o!!
Inasikitisha sana mtu kusema unafurahi maana unafurahia maovu ,haustuki na unarelax.Wa Kristo wa kweli tunafurahi wakati hayo yanatokea Kwa Maana unabii unatimia
Pesa inatafutwa,za kwenye vipodozi,mafuta na sabuni haziwatoshi wamefungua na kanisa lakini wao uliita club na sio kanisa.Heheee wamefika huku? Anguko lao haliko mbali.. Save this post
Hilo ni anguko kuu la kiroho kanisa ni nyumba ya Kristo, club ni kikundi cha watuPesa inatafutwa,za kwenye vipodozi,mafuta na sabuni haziwatoshi wamefungua na kanisa lakini wao uliita club na sio kanisa.
Nini tofauti ya club na church
Serikali ilishawafungua lilikuwa sio kanisa bali ni sehemu.ya mkusamyiko wa kukusanya mashoga,wasagaji na watu ndoa za.jinsia mojaPana wachungaji wasio na uelewa wowote kuhusu maandiko, KWA makusudi wao wameamua kuyapotosha kimakusudi wakitumika yule Muovu. Hawa huduma yao ipo ukonga stakishari wanajiita Grace club, ndio watengenezaji wa bidhaa za Grace sabuni, mafuta, nk.
Wao wanafundisha ya kuwa.
1.Amri kumi za MUNGU ni ushenzi, upotofu, ujinga kuzifuata.
2.Watu wanywe pombe makanisani.
3.Watu wavaae watakavyo kanisa hata uchi SAwa, kama ni mapaja mbona wanakula ya kuku.
Mungu uangalia moyo
4.Hakuna unyakuo
5.Kutoa sadaka, zaka ni wizi
6.
Mafundisho yao mengi ni potoshi
Walianzisha club hiyo ni.club ya mashoga,wasagaji na wa ndoa za jinsia mojaPesa inatafutwa,za kwenye vipodozi,mafuta na sabuni haziwatoshi wamefungua na kanisa lakini wao uliita club na sio kanisa.
Nini tofauti ya club na church
KWA hio wafadhili wao ni kutoka ile nchi ya speaker waziSerikali ilishawafungua lilikuwa sio kanisa bali ni sehemu.ya mkusamyiko wa kukusanya mashoga,wasagaji na watu ndoa za.jinsia moja
Akaona kuwakusanya afanyaje.ndio wakaamua kujiita kanisa lakini lengo lilikuwa kuweka kituo.open cha mashoga na wasagaji na wa ndoa za jinsia moja