Recent content by Bugasarai

  1. B

    Msaada wa kisheria: Nataka kuacha kazi serikalini

    Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili...
  2. B

    Nasema Rais Magufuli hawezi kutoka madarakani

    Binafsi sijawahi kuipigia kura ccm tangu nianze kupiga kura mwaka 2000, lakini nasema 2020 akitokea mgombea kuchukua fomu ya kugombea urais anayeweza kumtoa Magufuli madarakani nitampa kura hata kama ni wa ccm, kweli huyu rais hata mwaka mmoja uliobaki naona ni mbali sana
  3. B

    TUCTA kujadili kima cha chini cha mshahara 2019

    Wao wakae tu watumbue pesa wanayokusanya kila mwezi 2% ya wafanyakazi lakini eti kuna mapendekezo kwa serikali hakuna la maana hapo, miaka 3 mko kimya mmekosa strategy ya kushinikiza watumishi waongezewe mishahara mnaleta porojo tupu hapa
  4. B

    Mikutano yà vyama vya siasa kuruhusiwa muda wowote kuanzia sasa

    Siku wakiruhusu waje pia watwambie wamefanya lipi la maana ambalo lisingefanywa kama mikutano ya siasa ingeendelea.
  5. B

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Habari wakuu, Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu. Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani...
  6. B

    Tundu Lissu asimamishiwa mshahara na marupurupu yake

    Wacha wamtunzie pesa zake maana uzuri wake watamlipa tu, and tunaomba account tumchangie hata tukichanga 2000 kwa watu 500 nadhani mmeshanielewa
  7. B

    Wasomi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Tembea kifua mbele over
  8. B

    Suzan kiwanga na Peter Lijuakali waendelea kusoteshwa mahabusu

    Ninachoamini ni kwamba hata serikali inayojiita ya awamu ya 5 ikikaa madarakani miaka 100 ipo siku itapita tu na watasahau kama waliwahi kuwa viongozi ....ushamba gani huu yani makosa yote wanafanya upinzani tu???
  9. B

    Tundu Lissu: Tusipoyasema haya juu ya kifo cha Ruge Mutahaba, mawe yatasema

    Kwa hiyo kwa akili yako ya kupengea kamasi unadhani wote wanaolia msibani huwa wana maanisha? Hapo ambacho hujui ni nini?
  10. B

    Wanasingida mashariki kuandaa maandamano ya kuomba uchaguzi ili kumpata mwakilishi bungeni

    Hivi shida za wananchi zinatatuliwa na mbunge? Akili zingine hizi ...hebu nenda hata chato uone kama wanachi wa huko shida zao zina tofauti na wanachi wa singida mashariki...jinga kabisa
  11. B

    Nashauri Serikali iajiri Walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza au la pili kwenye vyeti vya elimu ya sekondari(Kidato cha nne na sita)

    Wewe hata kama ulifaulu kuna mawili labda uliangalizia au uli kuwa bingwa wa kukariri kwa sababu huna hata uwezo wa kujenga hoja, una generalize kwamba serikalini walimu wamefeli ndio maana na wanafunzi wana feli..rudi kafanye utafiti kama A material siyo kuandik kama mtu ambaye hakwenda shule
  12. B

    Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Apambane tu na hali yake niko busy kumuombea Lisu
Back
Top Bottom