Rias Bora ukanda wa Afrika Mashariki ni Nani?

Rias Bora ukanda wa Afrika Mashariki ni Nani?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Nawaleta kwenu Marais wa ukanda wa Afrika Mashariki, tuwachuje na kuwalinganisha kwa demokrasia, Uhuru na kuheshimu sheria walizoapa kuzisimamia
FB_IMG_15540255297837022.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Democracy nyingi lakini wananchi wanakufa na njaa inakua na msaada gani? Nawaza tu kama Tanzania mwananchi angekufa kwa njaa ingekuwaje.
 
Wanne ni wezi wakubwa na madikteta.

Mmoja ni labda sio mwizi lakini dikteta wa kutupwa.

Mmoja ni mwizi wa kutupwa lakini sio dikteta.
Tuwekee kwa majina au hata herufi tu ili nasisi kina kwangu pakavu tuelewe

In God we trust
 
Back
Top Bottom