Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,638
- 218,071
Wabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,
Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .
Mungu ibariki Chadema