Recent content by Bugari bijoga

  1. B

    Naomba msaada natamani kuwa mjasiriamali.

    Kama huna hata idea ya biashara ni ngumu kukusaidia kwan idea zina vary kulingana na biashara aitakayo mtu so mda mwingine tafuta idea ndo utafute ushaur okey dada"
  2. B

    mliokuwa mnasema ile ya temeke kugandana uzushi uneni wenyewe

    Halafu miguu yenyewe haionyeshi kupishana hv hao wanaigiza filamu gani?
  3. B

    Hukumu kesi ya nsanzugwanko vipi?

    Nsanzugwanko ni mtu mwenye heshima zake ila haya mambo ya siasa na kushitakiana huku alishindwa uchaguzi ayaache kwan mchango wke tumeshauona na tunautambua.Afanye shughuli nyingine.
  4. B

    Membe "umeme wa gesi ndio suluhisho la umaskini TZ"

    uliyoonyesha ni kweli lakini onyesha na wewe mambo unayoyaona ni chachu ya mabadiliko Tanzania ili tuendelee
  5. B

    Membe "umeme wa gesi ndio suluhisho la umaskini TZ"

    Chonde kama we ni m TZ Jiandae kua na maisha bora kama alivyosema nkrumah kwdnye malumbano ya hoja ila amechemka amesahau Walimu,unemployment vijana
  6. B

    Watanzania kila mnaelewaje kuhusu mfumo wa analogy?je,unafa kwa WaTZ

    Ni jambo la busara na kimaendeleo kuona nchi inatoka kwenye mfumo wa digital na kuingia mfumo wa analogy ifikapo Dec, 30 lakini je wa TZ mnaufahamje huu mfumo maoni yako ni mhim sana?
  7. B

    Watanzania mnafaham vizuri mfumo wa digital na athari zake?

    Ni jambo la kushtusha sana kuwa idadi kubwa ya watanzania hawana taarifa za kutosha kuhusu mfumo huu ambao mimi mwenyewe unanishtua juu ya uwezekano wa watanzania kuweza kununua vocha kila wiki au kila mwezi ili kuangalia TV?
  8. B

    Watanzania mnafaham vizuri mfumo wa digital na athari zake?

    Kuna suala la mfumo wa digital ambao kuanzia mwezi wa kwanza unaanza kutumika lakini je watanzania wanayo elimu ya kutosha kuhusu mfumo huu?je,wewe unasemaje? unalionaje?
  9. B

    Maoni

    Wahitimu vyuo vikuu tz mnalielewaje neno ujasiriamali au ajira?
  10. B

    Maoni juu ya elimu

    Tufanyeje ili kuboresha elimu ya vyuo vikuu tanzania na sio watu kumaliza vyuo na kuishia kuishi maisha ya kuhangaikia kazi na kuwasumbua mameneja a.k.a mabosi?
  11. B

    Picha: Pinda azindua taasisi ya Waarabu Tanzania.

    Waisram sasa kuanzishwa kwa hii taasisi si inamaana hii nchi nayo inataka kuwa ya kiarabu?
Back
Top Bottom