Recent content by BUFALO

  1. BUFALO

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili yasema mazingira ya uwekezaji Tanzania ni Magumu, wafungua ofisi Kenya

    Hapo kwenye BOT huwa sielewi wana shida gani, leseni inachukua miezi 6. Same investor akiwekeza Kenya hiyo miezi 6 anakuwa ameaanza biashara na kurudisha pesa.
  2. BUFALO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Hawapo wanawake wa hivo
  3. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    Ukitaka kujua nguvu ya umma, Azam aendelee kuonesha ubaguzi wa kidini Kuonesha league ya bongo kusiwape jeuri
  4. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

    Wakuu, Kwa mtazamo wangu Azam wamekuwa na udini sana. Nadhani wengi mmeona kwenye huu msimu wa December mfano wanakwepa kusema neno Christmas na etc Pia Tamthilia zao hasa Ottoman ipo kimkakati sana kuliko Tamthilia zilizokuwa zinaoneshwa zamani na TBC, Chanel Ten na ITV (miaka ya...
  5. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Tigo internet ipo hovyo sana

    Wakuu habarini huu mtandao wa Tigo unasumbua sana kwny internet wiki ya tatu sasa, hii ni Shida kwangu mimi tu au ni wote?
  6. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Tigo internet ipo hovyo sana

    Wakuu habarini huu mtandao wa Tigo unasumbua sana kwny internet wiki ya tatu sasa, hii ni Shida kwangu mimi tu au ni wote?
  7. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Je, ni kiasi gani cha fedha unaweza ku-deposit benki bila kuulizwa umezitoa wapi?

    Upo sahihi, bank huwa wanahoji kutoa pesa kubwa kwa mkupuo na sio kuweka
  8. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Same here, nawasikia tu wakiongelea mabadiliko ya makatibu
  9. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    CAPs letters ni kama shouting
  10. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nasimama na spika[emoji28]
  11. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

    Nimesoma OUT, seriously nimeajiri watu wawili waliosoma Usdsm.. ukiendelea kukaa kishamba na nikakujua nitakuajiri na wewe ..
  12. BUFALO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Couples, mkitoka na mpenzi wenu huwa mnapenda kwenda wapi?

    Aliyeanzisha mada hajasema ya kwake, yeye anauliza watu
  13. BUFALO

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

    Pole sana mkuu.. tumia hiyo taaluma kujajiri.. anza mdogo mdogo
Back
Top Bottom