Tigo internet ipo hovyo sana

Tigo internet ipo hovyo sana

BUFALO

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
300
Reaction score
273
Wakuu habarini

huu mtandao wa Tigo unasumbua sana kwny internet wiki ya tatu sasa, hii ni Shida kwangu mimi tu au ni wote?
 
Karibu ttcl.... 2G yao ina nguvu kushinda 4G ya tiGo.
 
Nikajua ni kwangu tu inazingua,now natumia airtel..nawasoma kwanza.
 
Wakuu habarini

huu mtandao wa Tigo unasumbua sana kwny internet wiki ya tatu sasa, hii ni Shida kwangu mimi tu au ni wote?
Wote tu ila uzuri wao unajiunga then pesa hawakati ... Kwa leo kutumia buku5 ninejiunga Mara 3
 
Tatizo ni simu zenu, kwangu natumia simu ya mil 1 na laki 6 hamna tatizo. Kama unatumia simu cheap ya laki 8 hayo ndio matatizo
 
Huu mtandao leo siuelewi ...Upande wa tigo pesa inakataa kabisa
 
Back
Top Bottom